Ndg zangu tenda wema uende zako,wahenga wamenena,jamani tamu ya penzi kupenda upendwapo,huko U.K kulikua na dada 1 aliku anafanya kazi maigration huyo dada ana asili ya kijamaika katika pita pita zake akakutana na dreva tax ambae ni mtanzania wakawa marafiki dada alickitishwa na maisha ya yule kaka kwakua yule kaka alikua analala kwenye tax yake, shida yote kwa kua alikua c raia wa kule,dada alikua ana nia safi ya kumsaidia ktk urafiki wakapendana dada akamwambia kaka waoane ili iwe raic kupata uraia basi ndugu zanguni wakaoana,lakin uhamiaji wakatia shaka kua ile ndoa ni ya kupanga kwakua mbona imefanyika ghafla,yule dada alikua na mapenzi jamani akapata akili ya kuzăa ili awathibitishie kua ni wanandoa na c wababaishaji,dada kabeba mimba ya kwanza ikatoka,ya2,ya3,ya4,zt zimetoka,hakukata tamaa kabeba ya 5 mungu ni mwema akazaa mapacha wakiume wa2 yule kaka akapa uraia wa U.K kwa sasa wanamiaka 16 katika ndoa ,mwanaume akadai kuwa anaham ya mtoto wa kike akapendekeza kua aliză mtoto TANZANIA wa kike akamuomba mkewe amfanyie mpango mwanawe nae aende huko walipo wao,mke ana true love akafanya mpango mtoto wa mume akagusa ardhi ya U.K,baada ya mda mume akataka waje na familia yao Tanzania ili aitambulishe kwa wazazi wake Bukoba,wakaja bht mby wakamkuta baba wa mume anaumwa mjamaika akauguza mpaka baba akafariki, mke alikua anapesa alimsaidia mume na familia ya mume,kule U.K mke aliacha kazi na maisha yao ya kawa TZ, wakpta mtoto mwengine wa kike anmiaka 7 sasa,mume akawa msaliti kwakua mke hajui kiswahili mume akawa ana tumia kiswahili kuwasiliana na kimada wa kitanga, gari za mwanamke zilikua 3 mume ăkauza na 1 akampa kmada, mke akawek bondi nyumba ya u.k ili kukidhi mahitaji kwani mume anakazi nzuri sasa u.k ila hana msăda kwa familia, sasa amempelekä kimada katika nyumba ya mke na kumhatarishia mke amani, kamtelekeza mke ugenini akiulizwa anasema hana mapenzi alitaka uraia wa U.K,watoto kawakana anasema si wake,wana jf uwanja wenu huyu mke anastahiki malipo hayo.