Mahaba niue!

Mahaba niue!

"Karma is a bitch" inamaanisha umtendavyo mtu vivyo hivyo utatendewa. Jamaa asubiri tu malipo yake yanakuja upesi
 
Hastahili maana alionesha mapenzi ya kweli kwa jamaa,lakin jamaa hakuyaona hayo.
Ina umiza sana kumthamini mtu ambaye hana shukrani.
Kama vip huyo binti arudi kwao u.k
 
daaaa anabatati hakuwa mbongo mwenzie weeeeeee pangechimbika ---- sana huyo mmmmxxxxxxyyyuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Inanikumbusha movie moja inaitwa not without My daughter
 
Lakini kama ndo hivyo kweli mjamaica ana haki yake, yaani jamaa alikuwa analala kwenye taxi halafu leo hii kafanya ujinga tusiseme sana labda shetani atakuwa kampitia anyway akimtoka atajuta na atakuwa ombaomba.
 
Back
Top Bottom