Nani kakwambia? Kwani pesa ndiyo mgegedo?pesa ndiyo moyo? Pesa HAINA UWEZO WA KUNUNUA TRUE LOVE Never ever !!!
Ndoa nyingi zinavunjika kwa tatizo la kipato kushuka au pesa imeisha, wanawake wanaanza kuchepuka kwa kutafuta japo kujibanza na shida zao na wanaume thamani inaisha punde tu unapoishiwa pesa hutoitwa majina yaleeeeeeee, hutobembelezwa kama zamani asalaleeeeeeeeeeeeeee kweli wanaume sisi mateso
ulishawahi kupenda penye shida chungu mbovu na pasipo na uelekeo wowote ukadumu?
Kwa hiyo utakesha unagegedwa bila kula... Hizi theory zenu hizooo...Nani kakwambia? Kwani pesa ndiyo mgegedo?pesa ndiyo moyo? Pesa HAINA UWEZO WA KUNUNUA TRUE LOVE Never ever !!!
unamaana gani unaposema shida chungu mbovu na uelekeo wowote?
Kwa hiyo utakesha unagegedwa bila kula... Hizi theory zenu hizooo...
Pesa ina umuhimu wake kwenye mapenzi,mtapendanaje bila pesa halafu mnaangaliana tu mkiteseka
Nani kakwambia? Kwani pesa ndiyo mgegedo?pesa ndiyo moyo? Pesa HAINA UWEZO WA KUNUNUA TRUE LOVE Never ever !!!
kwani dunia imeumbwa lini??
mapenzi maana yake ni nini??
Kwanza leo ni weekend ndo imeanza na huu ni ujumbe mfupi.
Wana MMU wote katika ujumbe wangu mfupi ambao tunatakiwa tuutafakari kwa kina hasa kati ya mapenzi ya kweli na pesa, mimi naamin hakuna mapenzi pasipo pesa toka dunia imeumbwa au ninyi mnasemaje?
Mpenzi wako ana pesa sana enhe?
mapenzi sio pesa bali pesa ni mbolea ya penzi