Mahaba mahabani sijui kazi unafanya ka

Mahaba mahabani sijui kazi unafanya ka

kigori wa kilwa

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
483
Reaction score
149
ImageUploadedByJamiiForums1412701854.776995.jpg
 
mahaba ninyonge ............

Grand PA
 
sijui wa mkoa gani hao?! tupe na details zao basi?!
 
everything goes chick-chicky-boom, chick-chicky boom
attachment.php
 
Duh ilikuwaje mpaka wakapigwa picha? Maana inaonyesha mpiga picha hakuwa mbali nao
 
Hawana makosa, ila Mkuu wa Chuo CCP, ndio anatakiwa awajibishwe kwa kutoa Askari wasio iva, hawajui maana ya jeshi wala dola, nguo ya askari huwakilisha dola, hivyo hawajui maana ya kazi yao na inchi waliyo apa kuifia, ila kwa kuwa duniani hamna askari mbaya, hata avute mihadarati. sheria ya Jeshi inasema askari akifanya utovu wa nidhamu jua ana kamanda mbovu, asiyeweza kutunza heshima ya askari wake, kwa hili makamanda wa juu wa Jeshi la Polisi wanatakiwa kuwajibika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom