MAHABA KITANDANI

MAHABA KITANDANI

hukiwa tu na hera wanajaxan xan tu, kutongosa ya kaz gan
 
Wadau leo naomba tujadili mambo ya mahaba, kiukweli leo mimi nataka tuwekane sawa. Kwanini wanaume sikuiz hawajui kutongoza? Unalikuta limwanaume domo zito hata haliwezi kujieleza, yaani nyinyi wakaka xm zinawasaidia sana wengi wenu kutongoza hamjui. Napendekeza elimu ya mahusiano ingekua inafundishwa mashuleni vijana hamjui kutongoza.
Kutongoza hakuna formula na hakuhitaji darasa,
 
Tatizo wasichana wa siku hz unapowatongoza hawaumi kucha wala kuangalia chini.
Utakuta kimtu kinakutumbulia macho kama fundi saa vile hadi mtu confidence inaondoka
 
Wadau leo naomba tujadili mambo ya mahaba, kiukweli leo mimi nataka tuwekane sawa. Kwanini wanaume sikuiz hawajui kutongoza? Unalikuta limwanaume domo zito hata haliwezi kujieleza, yaani nyinyi wakaka xm zinawasaidia sana wengi wenu kutongoza hamjui. Napendekeza elimu ya mahusiano ingekua inafundishwa mashuleni vijana hamjui kutongoza.

Huyo anauekutoaga hilo pensi alikupataje?
 
na maisha haya nianze kutongoza!... unamwambia tuu aje maghetoni. akija basi analiwa chake kimbuftaa!...
 
Kama huna hela uatatongoza kuanzia dar es salaam nzima hata uwe na maneno matamu vipi hupati,kuwa na hela watakutongoza wao wenyewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom