Mangi flani hivi
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 2,026
- 3,104
Nimeangalia tangazo EATV anaonekana Salama Jabri akiadvertise kitu flani anaishia kwa kusema: MAGUMU KULIKO, EATV JULY 2016. Mwenye uelewa wa anazungumzia nini tafwadhali nijuze.
Watu wanaview, wanakula kona.192 views