Magufuli yupo wapi

Status
Not open for further replies.

Umetisha mkuu,umenikumbusha 1992-Tanga Technical School,nilikuwa nayashusha hayo madude balaa.Kusoma Engineering ni raha sana.
 
inaonekana mtoa mada hafuatilii matangazo ya biashara, sasa hivi magufuri anawazidi hata cocacola, tigo na voda kwa matangazo ya biashara yake na kwenye mabango ndio usiseme mpaka kinyaa.
pumzi imekata, mabango hayasaidii kitu chema chajiuza kibaya kinajitangaza kila kona.mwaka 2010 chadema na upinzania hawakuwa na picha za mabango barabarani na waliikimbiza ccm mbaya mbovu sembuse mwaka huu ambapo mabango yamekaa kwenye angle maalum? Nakumbuka siku bango la lowasa linawekwa pale sokoni kariakoo ilikuwa shida manake watu walishangilia na wakajazana na kuzuia kazi kuendelea...bango 1 tu la lowasa linazidi mabango 100 ya masolex
 
Hivi sifa za tingatinga wana CCM mnazifahamu? Kwa nini nchi yetu ihitaji Tingatinga
 
Acha uongo wewe gamba Makomeo alikua Chalinze na Bagamoyo juzi ijumaa Tarehe 9. 10. 2015.......Kama pumzi imekata semeni imekata tu, chezea mziki wa Lowassa ww??? Lazima aombe poo sababu anapata dozi ambayo akutegemea, pamoja na kusomba watu na mafuso, matusi na kejeli nyingi bt wa TZ wamegoma kuelewa, kajitahidi kuongea ka chiriku, kajidhalilisha hadi na push up majukwaani lkn hamna kitu, kiukweli hata ka ni ww lazima ungeomba poo.
 
Mie niling'atwa sikio ijumaa usiku kwamba jamaa kaanguka, so jana na leo kimya nimeanza kuamini maana ratiba yake haionyeshi mapumziko
 

Kiukweli hakuwa amejiandaa kisaikolojia,alijikuta tu anatwishwa mzigo ambao hakuutarajia,nafasi aliyoipata ni matokeo ya fitna za CC ya CCM.Sote tunajuwa kuwa hakuwa miongoni mwa wagombea waliotarajiwa,pumzi imekata wanafungis mitungi ya Oksijeni na kumlambisha glucose.Akitoka huko watu wakae nae mbali,ni mieleka tuu kwani push-up zimefeli.
 
Kwasiku 2. sasa sijaona ripoti ya kampeni ya ndugu Magufuli kwenye vyombo vya habari.amepotelea wapi?

Anatafuta style mpya ya pushapu labda kwa kuwa na yeye anapenda mabadiliko anaweza akaja na style ya kubeba dunia maana hyo kidogo itamchukua kama wk moja hv maana bila mazoez ya kutosha haupig ovyo ovyo majukwaani
 
juzi alizungusha mikono kwa nguvu sana pale same,pengine inawekana misuli inauma
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…