Magufuli yupo wapi

Status
Not open for further replies.
 
Kwasiku 2. sasa sijaona ripoti ya kampeni ya ndugu Magufuli kwenye vyombo vya habari.amepotelea wapi?

Tarehe 10, Dr Magufuli alikuwa Bagamoyo, tarehe 11 alikuwa kwenye vikao vya Chama na leo hii tarehe 12 yuko Nachingwea!
 
 
Wadau ni siku ya tatu leo mgombea uraisi wa ccm haonekani jukwaani na kuna taarifa kwamba mzee mkapa ameitwa kusimama jukwaani ili kuokoa jahazi. Inaleta utata maswali yamekuwa mengi mtaani, mwenye taarifa aliko magufuli tupia hapa tafadhali.!
 
Aje tumuulize kwanini mitambo ya kufua gas kinyerezi ni ya makampuni binafsi!Huu ni ufisadi mwingine!
 
tanzania nchi yangu na magufuli raisi wangu 2015-2025, ccm mbele kwa mbele
 
Nasikia kasusa baada ya kushuhudia mafuriko ya Laigwanani mkuu.
 
hali ni mbaya sana, ccm waanze phase out mapema na wasione aibu kwa hilo
 
Aje tumuulize kwanini mitambo ya kufua gas kinyerezi ni ya makampuni binafsi!Huu ni ufisadi mwingine!
Hapo hatakujibu ila atasema serekali yangu itahakikisha.....,hapo ndio ujue fix kama kawa chini ya mwavuli uleule wa ccm
 
2namsubir kwa ham huku kgambon,aje ku2nesha jinc ya kuvuka kwa kupga mbiz baharn
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…