Magufuli yupo Arusha kikazi

Magufuli yupo Arusha kikazi

Leo Dr.Magufuli kapokelewa Arusha ambapo atakagua Ujenzi wa barabara na kumkaribisha Makamu wa Rais kwenye Ujenzi wa barabara ya Kia kwenda Mererani.

Huyo waziri alikuja since yesterday mkuu, na alifikia The Arusha Hotel zamani ikijulikana kama New Arusha Hotel.
 
Galang, usipotoshe watu, Mapadlock kapita zake kimya kimya mitaa ya Ngarenaro
Nilichoshuhudia ni dirisha tu ndio lilikuwa wazi, kila mtu alikuwa bize na mambo yake

Kumbe jana aliingia kimyakimya akaingia New Arusha hotel akawa anawaambia watu CCM oyee wadau wanampa chata la CDM, ikabidi anyamaze kimyaaaa
 
Uzi wa Magufuli una comment 80 na wa Lowassa una comment 500...... Hatariiiii
 
Magufuli tulikupenda, lakini Lowassa tumempenda Zaidi.

................. Atakapotoka arusha mwambieni apitie dsm/morogoro road
aone maajabu ya barabara kutitia upande upande............
 
Niko mkoani Arusha hapa! Jembe Dr. Magufuli yupo hapa kikazi wizara ya ujenzi. Lakini wanainchi wa arusha wanahamu ya kumsalimia na kila anapopita watu wanashangilia rais rais.

Ki ukweli jamaa bonge la jembe anakubalika kila kona. Check picha kidogo hapa chini. Nitawaletea kila nitakacho nasa hapa mambo "alisema"

usilazimishe maji kupanda mlima
 
John Pombe yuko Arusha tangu jana, ameingia kimya kimya utadhani ni mtu wa kawaida kabisa na si mgombea wa Uraisi, yuko tangia jana amefikia Arusha hotel............!!
 
Huhuhuhu mzee mamvi ni homa ya.nchi kwa sasa
 
tena awahi kutoka huko mapema kabla UKAWA hawajaanza kampeni...
 
Kwa nini kanda ya ziwa mbwembwe lakini Arusha kimya kimya?
 
Hivi hakuna namna ya kutengua uteuzi wa huyu bwana,wakaleta mtu wa nguvu,mana naona ni kama Lowasa kamkata kilimi
 
John Pombe yuko Arusha tangu jana, ameingia kimya kimya utadhani ni mtu wa kawaida kabisa na si mgombea wa Uraisi, yuko tangia jana amefikia Arusha hotel............!!

Labda atakuwa yupo kikazi, sio kujitambulisha.
 
Kwa nini kanda ya ziwa mbwembwe lakini Arusha kimya kimya?

The country has already divided along the lines of tribalism. Kule kwao ni mfalme ila huku Arusha mfalme ni Lowassa hivyo lazima akiingia humu ashushe bendera
 
Magufuli ndie Rais.Tanzania yote bila kujali kanda au ujimbo tunamtaka yeye.ubarikiwe Magufuli
 
The country has already divided along the lines of tribalism. Kule kwao ni mfalme ila huku Arusha mfalme ni Lowassa hivyo lazima akiingia humu ashushe bendera

Kwa kawaida, mgombea anaruhusiwa kufanya utambulisho (utambulisho) kwenye mikoa kama sikosei ni 4 tu. Hivyo kwa sasa hivi hawezi kufanya kama Mwanza au Dar es Salaam maana tayari keshafikisha mikoa 4.
 
Najua inauma sana pale unapoamini kwamba una ngome alafu watu wanatia team na kiulaini. Tena kw taarifa yako mwenyekiti wa CCM mkoa na Mh. Olesendeka wote watamtembelea muda si mrefu. Na kwa ujumla wembe ni uleule"kata kata" jipangeni sana nchi hapewi genge la wahuni na wala rushwa hawana nafasi Ikulu.
Tulia uonyeshwe njia ww.
 
Niko mkoani Arusha hapa! Jembe Dr. Magufuli yupo hapa kikazi wizara ya ujenzi. Lakini wanainchi wa arusha wanahamu ya kumsalimia na kila anapopita watu wanashangilia rais rais.

Ki ukweli jamaa bonge la jembe anakubalika kila kona. Check picha kidogo hapa chini. Nitawaletea kila nitakacho nasa hapa mambo "alisema"
Hao ni wafanyakazi wa Tanroads Arusha...na Regional Manager wao ENG KAKOKO, hiyo nyomi hata kituo cha SIM 2000 UNAIKUTA
 
Back
Top Bottom