Magufuli yupo Arusha kikazi

Magufuli yupo Arusha kikazi

Unaamini siasa na wanasiasa? Meno ya wanasiasa wanapochekeana hayo meno yao yanayoonekana huwa siyo halisi.
 
Galang, usipotoshe watu, Mapadlock kapita zake kimya kimya mitaa ya Ngarenaro
Nilichoshuhudia ni dirisha tu ndio lilikuwa wazi, kila mtu alikuwa bize na mambo yake
 
Hao ni wafanyakazi tena waliochini ya Tawala za Mikoa na wachache wa Serikali kuu.
 
Sijategemea kama angepata reception ndogo kiasi hiki. Hakika huyu jamaa hana nyota
 
sasa sikasema yuko Arusha kikazi? kwani kasema yuko kwenye mkutano w hadhara? someni habari kwa makini kabla ya kukoment ooh watu wachache hana nyota.
 
Back
Top Bottom