Acha utani wewe hao wengi wao si watumishi wa serikali na chama na wanaCCM mbona common wananchi ni kiduuuuuuch almost hakuna! na tena wengine waweza kuwa ndugu, jamaa, marafiki zake ambao wako A town. Kama ni kijidimbwi sema kijidimbwi, usiseme ziwa au mto!