Gunst
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 3,168
- 6,121
Watu wapo kibao ila kwa kuwa yuko kikazi zaidi acha apige kazi kwanza maana kwake hiyo ndo priority.
Naona umeamua kumkejeli Magufuli.
Ngoja akusikie, utamtambua.
Watu wapo kibao ila kwa kuwa yuko kikazi zaidi acha apige kazi kwanza maana kwake hiyo ndo priority.
Waacheni watumishi wa serikali wafanye kazi, ona mlivyowasimamisha hapo kisa kujaza namba ya raia
Leo Dr.Magufuli kapokelewa Arusha ambapo atakagua Ujenzi wa barabara na kumkaribisha Makamu wa Rais kwenye Ujenzi wa barabara ya Kia kwenda Mererani.
Leo Dr.Magufuli kapokelewa Arusha ambapo atakagua Ujenzi wa barabara na kumkaribisha Makamu wa Rais kwenye Ujenzi wa barabara ya Kia kwenda Mererani.
Kumekucha wakati jembe JP akiwa kikazi arusha kwenye kuweka jiwe la msingi barabara ya mererani KIA. Wazee wa kimasai wamemkubali na kuamua kumtunikia uongozi wa koo za kimasai. "Laigwenani" Nitawajuzi kila kinachoendelea kadri jembe linavyozidi kukubalika kwenye ngome ya EL. Check hizi clip
Kumekucha wakati jembe JP akiwa kikazi arusha kwenye kuweka jiwe la msingi barabara ya mererani KIA. Wazee wa kimasai wamemkubali na kuamua kumtunikia uongozi wa koo za kimasai. "Laigwenani" Nitawajuzi kila kinachoendelea kadri jembe linavyozidi kukubalika kwenye ngome ya EL. Check hizi
KIA hamna wamasai, wako Monduli, Longido nk. Katunikiwa na wapare wa Mererani kwa kuwapa barabara. Ameingizwa mjini JPM
Mchana wa leo anakuja mererani