Anicet mchomvu
Member
- Apr 18, 2012
- 95
- 213
Katika utafiti wa haraka haraka Rais Magufuli ameendelea kubadilisha fikra za watanzania wengi zilizochafuliwa na vyama vya upinzani kuhusu CCM na serikali Mvundo Iliyopita hali iliyopelekea asilimia zaidi ya 78% ya watanzania kurejesha imani zao na KUJUTIA MAAMUZI YAO WALIOFANYA KUCHAGUA UPINZANI NA KUHISI KUA ENDAPO WANGESHINDA UPINZANI
WASINGEONA NEEMA KAMA HII ILIYOPO MBELE YAO SASA.
Swali linakuja, Je Magufuli akiendelea na sera yake hii ya kuzikarabati fikra za watanzania Mbowe na ndugu zake watabakiwa na nini.
Je, Magufuli afanyeje ili upinzani usalimike na watanzania wasifike kua wanademokrasia komavu.