Maarifa
JF-Expert Member
- Nov 23, 2006
- 4,568
- 2,926
mkwara tu huo, jk yalimshinda
ic huyu msubi si mswahili wa bagamoyo!! anaamanisha anachokisema!!
mkwara tu huo, jk yalimshinda
Mgombea wa urais kupitia CCM, John Pombe Magufuli amesema akichaguli kuwa rais, mafisadi watamkoma.
Source: Tanzania Daima.
Ngoja tusubiri kama anaweza kukomesha mafisadi
Hana lolote yeye mwenyewe ni mwizi na hata jk mlimsiku hivyo hivyo Leo mmesahau ana kweli kiziwi na kipofu ni sawa
Usimfananishe JK na JPM, Angalia Hata Utendaji Wao Wakiwa Mawaziri Utaona Tofauti!!! JPM Anachukuaga Maamuzi Magumu Sana Kuliko JK, Makandarasi Wanamjua, Wezi Wa Samaki Bahari Kuu Pia Wanamjua, Matapeli Wa Viwanja Pia!!!Aliekuwa Mtendaji Mkuu Wa Tanroad (Mrema)Muulize Habari Ya Huyu Jamaa
Ameanza kupiga mkwara hata urais hajaupata.
Msimamo wake kwenye katiba mpya ulikuwaje?
Mbona wakati Watetezi wa wananchi wakipigana na mafisadi bungeni yeye hakudiriki kuonyesha kukerwa na ufisadi, leo hii ndipo kaona ufisadi ni tabu au ni gear? Kama alinywea na kuwa mdogo kama pilitoni, leo ujasiri huo anaupata wapi ikiwa hao mafisadi wamegombana wakaamua kumtupia yeye taulo ili kukomoana. Kambi ya fisadi lowasa ndiyo imemteua, leo anasema atashughulika na mafisadi, wakati UKAWA wakipigana na ufisadi yeye alikuwa ccm kimya. Huu si unafiki na hadaa kwa Watanzania?
Miswada gandamizi imepitshwa, yeye akiwa bungeni, kama mbunge, kwa nini hakutoa angalizo kwa wana ccm wenzake ili kama walikuwa hawajui kwa kuwa wengi yalikuwa majuha, ili kuwafanya wasifanye maamuzi ya kuua nchi?
Huo uzalendo umetoka wapi leo?
Huu ni utani!
Kaka Napenda Sana Hoja Zenye Vielelezo Kama Za Kwako, Na Ninakubali Hata Yy Anaweza Akamezwa Na System, Lakini Nimeshauri Pia Tujitahidi Kuweka Wapinzani Wengi Kwenye Bunge Lijalo, Ikiwezekana Hata Spika Atokane Na UKAWA Halafu Tuweke Hoja Mezani!! Yeye Mwenyewe Ataogopa Kuhatibiwa Serikali Yake Na Kumbuka Huyu Jamaa Ni Mpenda Sifa, Asingependa Yatokee Kama Ya Kina JK Na Kashfa Kila Kukicha
haujui unachosema wewe nakuona kama mmoja wa watu wasio kuwa na matumini na Maisha ushauri wangu jenga maisha yako kwa kufanya kazi na si vinginevyo kwa kutegemea watawala.
Hizo ni kauli tu za kuwadanganya wananchi, kwan wameshawaona watanzania ni mazezeta
ic huyu msubi si mswahili wa bagamoyo!! anaamanisha anachokisema!!
Ukisema mfumo atakaoukuta ccm una maana yeye hatoki ccm na hahusiki na mfumo uliopo. Kwa hili siyo kweli, mfumo uliopo na yeye ni mmoja wa huo mfumo. labda kama anaipinga ccm kimoyomoyo.Yawezekana magufuli akawa na nia njema ya kupambana na mafisadi na wahujumu uchumi tatizo mfumo atakaoukuta ccm ndo utakaomfanya aonekane si mtendaji mzuri.
Mgombea wa urais kupitia CCM, John Pombe Magufuli amesema akichaguli kuwa rais, mafisadi watamkoma.
Source: Tanzania Daima.