BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,041
Ndiyo akili za kushikiwa hizo kwamba mtu akiandika hapa kupinga hizi sera za kukurupuka basi ana stress, wewe ndio wale wale akili fupi. Huyu fisadi kawekwa madarakani na akina Mkapa na Kikwete ili aendelee kuwalinda na maovu yao. Kama CCM ingetaka kiongozi safi basi Augustino Ramadhani alikuwa hana doa lakini Kikwete na Mkapa wakamhofa kwamba yule anaweza kuikubali rasimu ya Warioba na hivyo kuwaondolea kinga Marais waliotenda maovu madarakani.
Iko siku labda hii akili yako iliyofunga itafunguka na kuona Majanga ya huyu dikteta na sera zake za kukurupuka katika miezi saba tu kishaanza kuweweseka mara anataka kwenda chunga ndege, mara anajuta kuchukua form ya Urais na kauli nyingine chungu nzima ambazo zinawaacha midomo wazi Watanzania wengi.
Katiba hamna time nayo maana mnajua ni kiama cha CCM na itapotea rasmi na kubaki history tu.

Hahahaa wewe blaza nakuonea huruma sana kwa kweli, kwa iyo what kind of leadership did you prefer, Lowasa? Hahaa. Me naomba nikupe pole kwa stress na hasira zitakazokuwa zinakufura kwa miaka kumi ijayo. Na iyo katiba hakuna mtu ana time nayo saa hizi, mtaachiwa nyie iwe sera yenu 2020 ili msije ishiwa na vya kusema.
Tizama katiba inafanya Kenya alafu jiulize nani anatetea ujinga kati yangu nawe alafu ukishapata jibu usinijibu.