Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,128
Hii ndiyo justification ya kumuunga mkono rais kuwaambia polisi waibe tairi kwenye magari ya watuhumiwa?Yule aliyepita mlimuita dhaifu na kadhalika, mkasema mnataka mabadiliko na mikono mkazungusha. Mabadiliko ndiyo haya, acheni kulalamika, fuateni sheria na mfanyekazi kwa bidii....bila hivyo hii miaka mitano itakuwa mirefu sana kwa baadhi yenu.
Kesho utaambiwa ubong'oe nina uhakika utabon'goa wewe.