Ni kampuni gani hiyo? DB Shapriya au Sharma Kapool Company au what? Tatizo la ucheleweshaji ni la mkandarasi au la kuchelewa kupata malipo ili waendelee na kazi? Wakandarasi wengi hawalipwi on time kwa kazi wanazofanya,.
mkuu hii kampuni inaitwa Proggresive. tatizo si wahindi tatizo hii hela wanayoitumia ni ya mkopo lakini lazima ipitie kwa mkondo wa serikari na TANROADS ndo wafanye malipo wawape haop wahindi sasa cheki huo mzunguko nakum?buka last time walipewa kama bil 3 kwa barabara hizo ni hela za mafuta tu ndo mana Magufulio anajua tatizo ni serikari. hasemi kitu hapo.