Magufuli wafuatilie na kuwakemea wahindi hawa

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
May 4, 2012
3,022
1,305
Wanabodi! Barabara ya mchomoro hadi Tunduru wamepewa wakandarasi wahindi lakini ni wazembe.Magufuli upo kimya kwanini?
 
Ni kampuni gani hiyo? DB Shapriya au Sharma Kapool Company au what? Tatizo la ucheleweshaji ni la mkandarasi au la kuchelewa kupata malipo ili waendelee na kazi? Wakandarasi wengi hawalipwi on time kwa kazi wanazofanya,.
 
  • Thanks
Reactions: Edo
Hiyo kampuni inaitwaje?

mkuu hii kampuni inaitwa Proggresive. tatizo si wahindi tatizo hii hela wanayoitumia ni ya mkopo lakini lazima ipitie kwa mkondo wa serikari na TANROADS ndo wafanye malipo wawape haop wahindi sasa cheki huo mzunguko nakum?buka last time walipewa kama bil 3 kwa barabara hizo ni hela za mafuta tu ndo mana Magufulio anajua tatizo ni serikari. hasemi kitu hapo.
 
Ni kampuni gani hiyo? DB Shapriya au Sharma Kapool Company au what? Tatizo la ucheleweshaji ni la mkandarasi au la kuchelewa kupata malipo ili waendelee na kazi? Wakandarasi wengi hawalipwi on time kwa kazi wanazofanya,.

Ukiona kimya ujue serekali haina hela, kwani hujuhi tunaweka wakandarasi barabarani wakati hatuna hela?
 
Wanabodi!Nimepata tetesi fulani kwamba hawa prgrsv wanamahusiano na mtoto wa 1 wapo wa wakuu wa nchi hii why hawakemei.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom