Vipi mzee uendelee kuachwa na mama yako hahahaTuache na mama tetu.
Mungu mbariki mama Samia
Vipi mzee bado una muunga mkono mtu muungwana?Unapomlinganisha mtu muungana, mstaarabu, mwerevu NA mtu katili, mshamba, mtesaji, mdhulumaji, mbaguzi, muuaji- ni kumkosea sana huyo mtu wa kwanza.
Marehemu anastahili kushindanishwa na mtu kama Idd Amin, Bokasa au Nguema.
Vipi mkuu za huko ulipoooooo hhhhUsimlinganishe huyo mama na shetani tafadhali.
Narudia tena, huwezi kumfananisha shetani na mtu.Vipi mkuu za huko ulipoooooo hhhh