chuse tbr
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 495
- 583
Hiyo miradi hata nusu haitotimia kama ni kwa mwendo huu wa makusanyo njia mbadala hapo ni kuliachia deni liongezeke kwa speed ya supersonic, maana hapo kila mradi ni above trillion TZS wakati recurring expenditures tu hatuwezi kukidhi kwa pesa ya ndani.
Uchumi sio lelemama unahitaji utashi wa hesabu na ujasiri wa kujua mbele, dira ni muhimu, Kikwete na mabaya yake yote he was visionary ametengeneza miundo mbinu kila kona ila ni kwasababu alikuwa na mahusiano mazuri na wahisani na biashara ilikuwa ina flow.
kwa hii miradi sio njia tofauti zaidi ya kuliachia deni la nchi liongezeke ikipibi hata hii miradi iwe inachajiwa after completion ili kusaidia kurudisha deni