Magufuli utatoa wapi pesa kutekeleza hii miradi?

Magufuli utatoa wapi pesa kutekeleza hii miradi?

first thing first sasa hivi makusanyo yako kwenye 1.3tr na jamaa anataka tufunge huu mwaka na 1.4tr so tunakuwa na hela za miradi kama bilioni 450 kila mwezi,kwa haraka haraka anaweza kukamilisha miradi karibia 10 kwa makusanyo ya miezi 10 pekee,anaposema "Makame tangaza tenda ndani ya wiki tatu mimi najua hela ipo" ni kweli jamaa hatanii

Hakuna pesa

Mbona mradi mdogo wa nyumba za Magomeni kota umesimama

Mbona mradi wa nyumba za askari magereza Ukonga umesimama

Mbona repair za barabara umesimama baada ya kuanzisha shirika la kutegeneza barabara za halmashauri na vijiji

Mbona anashindwa kuajiri wafanyakazi wapya.
 
Hebu anaglieni miradi mikubwa inayoanza na itakayoanza mda si mrefu..je hizi peas Magu anatoa wapi??
1.Strogersgorge:2100MW rufiji..
see Wazabuni 66 wajitokeza mradi wa umeme wa Stiegler’s Gorge — Ministry of Energy and Minerals
2. Kupanua Barabara ya Mwenge---Moroko to be 8 lane na fly over ya Moroko na Mwenge
3.Ujenzi wa barabara kutoka Kimara had Chalinxe--8 lane super highway
4.Kuchimba maji kigambon..Kuzalisha lita 50 million per day.
5.Kuleta maji za ziwa Victoria Tabora, Nzega, Igunga
6.Kuunganisha Barabara ya Nyakanazi to Kigoma kwa Rami.
7.Ujenzi wa majengo ya Wizara na Taasis zake Dodoma
8.Kupanua Bandari za Dar na Mtwara na Tanga
9.Kupanua Viwanja vya ndege
10.Kununua ndege zote
11.Kuongeza Mwendo kasi Moroko--Tegeta, Kariakoo Mbagala, Kariakoo tabata
13.Standard Gaurge..14 tirrions costs

Hizi pesa Magu unazitoa wapi wakati makusanyo yanarange tillion 1 kwa mwez, hapo utoe mishahara ya wafanyakazi (550 Billion),Madeni 400 Billion hivyo unabakiza 50 Billion kwa mwezi kwa ajili ya OCs na Miradi ya Maendeleo. Swahi je Magu anatoa wapi hizi pesa za miradi mikubwa hivi wakati mapato nikidogo??? Au anaprint hera. Nasema hvyo kwani serikali haijapata mikopo ya maana tangia iingie madarakani.
Sio trillion moja anayokusanya kwa mwezi bali ni kati ya bil. 750 mpak billion 800 zile trillion zinazotangazwa ni hewa.
 
Hakuna pesa

Mbona mradi mdogo wa nyumba za Magomeni kota umesimama

Mbona mradi wa nyumba za askari magereza Ukonga umesimama

Mbona repair za barabara umesimama baada ya kuanzisha shirika la kutegeneza barabara za halmashauri na vijiji

Mbona anashindwa kuajiri wafanyakazi wapya.
Nasikia mpaka Taasisi za serikali zipo taabani wanakosa mpaka mafuta ya magari
 
Nyie endelea kukariri 2019 mwishoni mtashangaa sana,kuna project kibao zipo hewani lakini kwasababu mmejitwisha chuki za kisiasa,mnakuwa blind.Ila nakuhakikishia miaka 2 tu ijayo,hamtaamini macho yenu na uchaguzi 2020 upinzani utapoteza viti vingi sana.Ndo maana wajanja wa upinzani wameshtuka wapo kimya tu.

Jibu Hoja Mkuu.....
 
Hebu anaglieni miradi mikubwa inayoanza na itakayoanza mda si mrefu..je hizi peas Magu anatoa wapi??
1.Strogersgorge:2100MW rufiji..
see Wazabuni 66 wajitokeza mradi wa umeme wa Stiegler’s Gorge — Ministry of Energy and Minerals
2. Kupanua Barabara ya Mwenge---Moroko to be 8 lane na fly over ya Moroko na Mwenge
3.Ujenzi wa barabara kutoka Kimara had Chalinxe--8 lane super highway
4.Kuchimba maji kigambon..Kuzalisha lita 50 million per day.
5.Kuleta maji za ziwa Victoria Tabora, Nzega, Igunga
6.Kuunganisha Barabara ya Nyakanazi to Kigoma kwa Rami.
7.Ujenzi wa majengo ya Wizara na Taasis zake Dodoma
8.Kupanua Bandari za Dar na Mtwara na Tanga
9.Kupanua Viwanja vya ndege
10.Kununua ndege zote
11.Kuongeza Mwendo kasi Moroko--Tegeta, Kariakoo Mbagala, Kariakoo tabata
13.Standard Gaurge..14 tirrions costs

Hizi pesa Magu unazitoa wapi wakati makusanyo yanarange tillion 1 kwa mwez, hapo utoe mishahara ya wafanyakazi (550 Billion),Madeni 400 Billion hivyo unabakiza 50 Billion kwa mwezi kwa ajili ya OCs na Miradi ya Maendeleo. Swahi je Magu anatoa wapi hizi pesa za miradi mikubwa hivi wakati mapato nikidogo??? Au anaprint hera. Nasema hvyo kwani serikali haijapata mikopo ya maana tangia iingie madarakani.
Ndo maana unaona anajitahidi kubana matumizi na kuwabana wakwepa kodi..Wakilipa vizuri atatoboa.
 
Uchumi wa gesi unatosha kugharimia kila kitu, ila miaka 10 haitoshi kukamilisha hii miradi yote, ndio maana for continuity, tunapendekeza Magufuli andelee kwa miaka 20, tukiona bado anahitajika, then tumpatie indefinite extension kama Kagame, Museveni na Mugabe!.

Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

Na Magufuli akigoma kuendelea baada ya 2025 then,
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...

Paskali

Mkuu tuwekee projection za revenue ya kwenye Gesi kwa mwaka angalau tuamini..........
 
Nyingine si ndo unasikia mikopo $500M alafu malipo $900M utasema tumechanganyikiwa. Sijawahi ona deni lina interest kubwa namna hiyo toka nazaliwa.
Duuuh noma sana, nchi yetu hii
 
Mikopo mpka 2020 bdo deni la nyuma tutalipa mpka vitukuu vyetu nao watalipa
 
Mkuu pitia hiyo link ya mleta mada 1... inaanza na Wazabuni 66 wajitokeza mradi wa umeme wa....,utaona mahali kuna maelezo kama haya ...."
Sambamba na hilo, Dkt. Kalemani aliweka wazi kuwa mkandarasi atakayepewa kazi ya kujenga mradi huo ni yule tu atakayeridhia kujenga mradi kwa gharama nafuu na kwa muda mfupi ndani ya kipindi cha miezi 36.

Alisema kuwa tayari Serikali imetenga fedha za kutekeleza mradi huo ambao unatarajiwa kukamilika ndani ya miaka mitatu baada ya kumpata mzabuni na kuanza ujenzi wake."

Amini maneno yangu serikali sasa hivi ina pesa za kutosha tu,na hii miradi itakamilika kama ilivyopangwa.Swali la mleta mada ni zuri sana na fikirishi.Ukusanyaji wa mapato wa serikali upo juu miaka yote ila pesa zilikuwa zinaishia mikononi mwa wajanja.Nakubaliana na wewe viwanda havijawa vingi kila mkoa kama tulivyotarajia,ila bado ni mapema kuhukumu.Tatizo linaanzia sehemu moja,watanzania wenye uwezo walio wengi hawajazoea pesa za ku hustle,nikupe mfano mmoja wakati fulani 2011 Mh.Ole Sendeka aliwahi kusema bungeni kuwa tungekuwa na watu kama Mengi angalau wawili kila mkoa tungekuwa mbali sana.Watanzania wenye uwezo wa kuanzisha viwanda wapo wengi sana,lakini kutokana na pesa zao zimepatikana kifisadi hawataki kuwekeza pesa katika namna ya ku hustle.Kuendesha kiwanda kunahitaji dedication ya pesa na muda pia.Wengi wanaishia kununua hisa,au kujenga apartments au hotel ambazo mwishowe ajira zinapatikana kwa uchache.Hapo utaona nia ya JPM ni nzuri ila tatizo ni sisi wenyewe.
Tatizo la ajira nakubaliana na wewe kuongezeka,lakini kuna kitu watu wanakisahau.. Tangu miaka kati ya 8 hadi 15 iliyopita intake ya form five.,college, vyuoni pamoja na vyuo vyenyewe vinaongezeka kwa % kubwa kila mwaka,wakati nafasi za serikalini ambayo ndo muajiri mkubwa karibu ni zilezile.Ili ajira ziwe za kutosha ilibidi angalau watu waanzishe viwanda katika sekta binafsi ili angalau sekta binafsi ipunguze pengo la wanaoishia street baada ya kutoka vyuoni.Na kingine watu wanaotoka vyuoni wengi wana mentality ya lazima waajiriwe,hili swala nchi jirani kama Kenya au Nigeria wameshalisahau siku nyingi,ni rahisi kukuta mtu yupo first year ana banda la chips mtaani,wakati akiwa free kidogo jioni waweza mkuta kasimama mwenyewe kwenye goli akimenya viazi au kukaanga chips,na mtaji ni pesa aliyobana kwenye Boom,ila hapa wanashindana kununua galaxy S6 na S7,yule wa Kenya akimaliza chuo tayari ana mtaji wa kuanzisha restaurant wakati huyu wa hapa anakaa kwa shemeji Sinza anayefanya kazi Tigo au Voda huku akiwa amejaa jeuri ya degree aliyoipata na ndoto za mshahara mkubwa na kuendesha IST miezi michache baadae.Mkuu matatizo na changamoto ni nyingi sana,nyingine zinatokana na mifumo aliyoikuta raisi wetu nyingine ni sisi wenyewe,naweza kutoa maelezo page hata 10.

Serikali ina pesa za kutosha? Wangeenda kukopa dola 500m kwa riba ya dola 400m? Huu mkopo unaonyesha serikali haina kitu na kuamua kupata mkopo wa haraka wenyw riba ya zaidi ya 70%.

Serikali ingekua na pesa ingepata mda wakujadili huo mkopo na kupunguziwa riba.
 
Hiyo pes
Hebu anaglieni miradi mikubwa inayoanza na itakayoanza mda si mrefu..je hizi peas Magu anatoa wapi??
1.Strogersgorge:2100MW rufiji..
see Wazabuni 66 wajitokeza mradi wa umeme wa Stiegler’s Gorge — Ministry of Energy and Minerals
2. Kupanua Barabara ya Mwenge---Moroko to be 8 lane na fly over ya Moroko na Mwenge
3.Ujenzi wa barabara kutoka Kimara had Chalinxe--8 lane super highway
4.Kuchimba maji kigambon..Kuzalisha lita 50 million per day.
5.Kuleta maji za ziwa Victoria Tabora, Nzega, Igunga
6.Kuunganisha Barabara ya Nyakanazi to Kigoma kwa Rami.
7.Ujenzi wa majengo ya Wizara na Taasis zake Dodoma
8.Kupanua Bandari za Dar na Mtwara na Tanga
9.Kupanua Viwanja vya ndege
10.Kununua ndege zote
11.Kuongeza Mwendo kasi Moroko--Tegeta, Kariakoo Mbagala, Kariakoo tabata
13.Standard Gaurge..14 tirrions costs

Hizi pesa Magu unazitoa wapi wakati makusanyo yanarange tillion 1 kwa mwez, hapo utoe mishahara ya wafanyakazi (550 Billion),Madeni 400 Billion hivyo unabakiza 50 Billion kwa mwezi kwa ajili ya OCs na Miradi ya Maendeleo. Swahi je Magu anatoa wapi hizi pesa za miradi mikubwa hivi wakati mapato nikidogo??? Au anaprint hera. Nasema hvyo kwani serikali haijapata mikopo ya maana tangia iingie madarakani.
Hiyo pesa kidogo sana. Faini ya traffic inatosha
 
Hivi uko serious na ulichoandika hapa? Kama hivi ndivyo tunavyofikiria basi tumekwama!
Uchumi wa gesi unatosha kugharimia kila kitu, ila miaka 10 haitoshi kukamilisha hii miradi yote, ndio maana for continuity, tunapendekeza Magufuli andelee kwa miaka 20, tukiona bado anahitajika, then tumpatie indefinite extension kama Kagame, Museveni na Mugabe!.

Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

Na Magufuli akigoma kuendelea baada ya 2025 then,
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...

Paskali
 
katika miradi yote uliyoainisha mradi unaofaa kwa maendeleo ni mmoja tu kati ya hiyo nao ni barabara ya Nyakanazi Kigoma
 
Uchumi wa gesi unatosha kugharimia kila kitu, ila miaka 10 haitoshi kukamilisha hii miradi yote, ndio maana for continuity, tunapendekeza Magufuli andelee kwa miaka 20, tukiona bado anahitajika, then tumpatie indefinite extension kama Kagame, Museveni na Mugabe!.

Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

Na Magufuli akigoma kuendelea baada ya 2025 then,
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...

Paskali

Kwakuwa msukuma mwenzio acha atawale miaka MIA MOJA (100 ) kabisa,,,,,akimaliza makonda atamlisi baada ya iyo Miaka Mia moja
 
Si umesikia wamekopa Usd 500M ila tutalipa Usd 900M! kama ni biashara kichaa ndio hii!
 
Mtatafta kila aina ya kasoro SUBIRINI MIAKA YAKE MINANE IISHE NDIO MUULIZE.....
AWAMU YA JK KAULI MBIU YAKE ILIKUA AJIRA KWA KILA MTANZANIA LKN HAMKULIHOJI HILO.
SASA KWA HUYU MTAHOJI HADI UKOKO WA WALI ANAOKULA...
TENA HAYA MASWALI YENU NDIO YANAZIDI KUTUPA CHANGAMOTO YAKUIGEUZA KATIBA ILI AENDELEE KWA MIAKA SABA SABA SIO MITANO
 
Swadakta Pasco!

JPM ni Pain Killer dhidi ya Kelele za Muda mrefu za wa Tz Mf
1) Kuomba omba nje ya Nchi
2) Matumizi ya Anasa
3) Kucheka Cheka na Wawekezaji
4) Nidhamu Serikalini
5) Rushwa
6) Ufisadi
7)Vurugu za Kisiasa

Kwa Kifupi pamoja Na Mapungufu yake yote JPM anafaa sana kunyoosha waliopinda
Safi kabisaaaa Hawa vihedemswede na viherehere vitawaisha..
Kama kuna kidume atoke na kuandamana...wale viwete wenye vibajaji habari wanazo sembuse Hawa wazima?!
Kuongozwa kistaarabu sasa Toshaaa!!!
Ni Mbele kwa Mbele...
Baada ya Dhiki ni Faraja
 
Back
Top Bottom