TOKOMEZA CCM2020
Member
- Jul 29, 2016
- 38
- 67
Rais wangu Mh. Magufuli nakuomba ujikumbushe maneno Haya, sina hakika sana kama ulisoma Uongozi ila hata washauri wako wanapaswa kukukumbusha kuwa Uongozi,
> Sio kutoa Matamko yasiyozingatia masilahi ya Taifa (ya hovyo hovyo).
> Uongozi sio kukaripia watu ili uonekane Rais.
> Uongozi sio kufinyanga Haki za usiokubaliana nao.
Bali Uongozi ni jinsi unavyoweza Kukaa na watu, Jamii, Wenye mawazo tofauti na zaidi wanao ona kuwa mawazo yako sio sahihi sana na Kukaa kwa muafaka.
Uongozi ni kuyaleta mawazo kwa wataalamu na kuwapa nafasi ya kuyachambua ili kupata wazo kuu kwa ajili ya Taifa zima.
Uongozi ni kujiweka sawa na watu wako, kujipa usawa na wenzio kwa kuamini katika umoja kwa mustakabali wa Taifa.
Ukiwa kama Rais usiziweke mbele Hisia zako na kuamini kuwa sahihi, Matamko yako yana athari kubwa sana kwa Taifa.
For leadership does not mean shouting at people, it does not mean abusing individuals or group of people you disagree with, even less does it mean ordering people to do this or that.
Leadership means talking and discussing with the people, explaining and persuading.
It means making constructive suggestions, and working with the people to show by actions what it is that you are urging them to do.
It means being one of the people, and recognizing your equality with them.