Magufuli umevuna ulichopanda baba! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magufuli umevuna ulichopanda baba!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KYALOSANGI, Mar 22, 2011.

 1. KYALOSANGI

  KYALOSANGI JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2011
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 1,890
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Siku zotenimekuwa kinyume na watu wengi ambao huwashangilia baadhi ya mawaziri a serkali ya CCM,AMBAO HUONEKANA KAMA VILE WANAFANYA KAZI VIZURI SAANA!
  Hii yote huwa ni ghiliba tu kwa Wtanzania na pengine kujitafutia umaarufu binafsi...ishu hapa ni kuwa tupo kwenye mfumo uliooza wala hawezi akasimsm mtu ambaye yupo humo ndani akasema yeye ni safi ,utakuwaje safi kwenye mfumo wa maji taka! Hata SITA na Mwakyembe siku yao inakuja .
  mGUFULI ULIINGIIA KWENYE KENYE GIZA NA MSHUMAA ULITARAJIA NINI .
  Kama wewe ni mjamja toka uje CUF Tujenge NCHI YETU ! Huko ni mwendo wa kuwang.ata wajinga na kuwapuliza huwezi!
   
 2. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,268
  Likes Received: 1,419
  Trophy Points: 280
  Acheni uzushi ndugu zangu, huu ni uchonganishi au fitna ndugu zangu. Tujifunze kusikiliza na kusema uhalisia bila kuingiza matakwa yetu au yaliyomo kwenye akili zetu.
   
 3. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  CUF na CCM kuna tafauti gani????? Ni wale wale tu.
   
 4. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,640
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160

  Wewe ndo unampoteza kabisaaaa.......!!!
   
 5. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #5
  Mar 22, 2011
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,420
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Yaani aruke mk*j* akanyage m*v*!!!! . Umesema vizuri mwanzo ukakoseamwisho......watu kama Maguful;i hawezi kuwa CCM na wakafanya kazi. Ngoja tuone kama naye atafyata...na kuamua kula nao tu.
   
 6. Naloli

  Naloli JF-Expert Member

  #6
  Mar 22, 2011
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 416
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwahiyo CUF ndio watu safi wasio na mawaa yaani malaika. Duuuh hii inanikumbusha msemo wa HAMAD RASHID " HATUWEZI (CUF)KUWAACHIA NGURUWE(CCM) SHAMBA WAFAIDI WENYEWE"
   
 7. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #7
  Mar 22, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,982
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Maghufuli anatakiwa aripoti CDM bila kuchelewa maana hapo alipo malengo yake na ndoto zake haziwezi kutimia.
  Njoo CDM kwa watu wa kazi wenye nia ya kutetea wanyonge wa Tanzania na kuwatumikia Watanzania bila rushwa, ufisadi na wizi,chupa Ndg bado mapema tupange mikakati!!!!!!!!!
   
 8. NgumiJiwe

  NgumiJiwe JF-Expert Member

  #8
  Mar 22, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Mara CUF mara CHADEMA..guys give him a break.Mwenyewe ni smart enough na anajua anachokifanya.Wewe kama unaona kuwa chadema au cuf ndiyo kutetea wanyonge just carry on.Muacheni Magufuli aendelee na shughuli zake.
   
 9. eliakeem

  eliakeem JF-Expert Member

  #9
  Mar 22, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 2,900
  Likes Received: 1,006
  Trophy Points: 280
  Teh, teh, teheeee...... Kwa Tanzania wakisema tufanye kazi hawamaanishi. hivyo Magufuli wala usihangaike nao. Lakini waweza kusuka au kunyoa. .......... kubaki na kuungana nao au kuondoka.......
   
 10. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #10
  Mar 22, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,292
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
   
 11. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #11
  Mar 22, 2011
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  sisi wenyewe tulihamia chadema na kufanikiwa kutwaa jimbo la ubungo kupinga ukandamizaji aliotufanyia magufuli mwaka 2001 kwa kutupandia mawe na mabango yanayoonyesha mwisho wa hifadhi ya barabara mita 120 kutoka katikati ya barabara kati ya ubugno hadi kiruvia badala ya mita 22 ambao ndio upana unaotamkwa na sheria.hivyo huyu sio mtetezi wa wanyonge hata kidogo
   
 12. IsangulaKG

  IsangulaKG Verified User

  #12
  Mar 22, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  CUF Wenyewe mbona wanafiki tu kama JK? Kila siku wanamshabikia JK,Magufuli akija CUF AMEJIUA Kisiasa bora abaki CCM tu avujmilie Kejeli but CUF ndo chafu kuliko hata maji taka unayoyasema!
   
 13. Kinyambiss

  Kinyambiss JF-Expert Member

  #13
  Mar 22, 2011
  Joined: Dec 2, 2007
  Messages: 1,372
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ukweli ni kwamba tusijidanganye. Serikali yoyote ile corruption itakuwepo, ata ya hiyo CHADEMA yenu. Kitu ambacho viongozi wa CCM wameshidnwa ni kuwa na political will (ambayo chadema seems to have, at the moment) and to an even more catastrophic effect, wameshindwa kuweka institutional framework yakubana corruption. Hapa ndipo tatizo lilipo. Watanzania wanalalamika viongozi wao wezi, lakini (morality notwithstanding) watanzania wenyewe ni wezi wazuri tuu, tena hawana ata haya. Nilikua naangalia post hapo kwa bwana issamichuzi ya ajali ya wanataarabu, nilichoona ni yale yale yanayotokea nchi hii kila kona. Watanzania, tena haswa hao wanaoitwa wanavijiji sijui wakulima wanatabia yakuiba kwenye ajali na ata kumalizia majeruhi ili waibe. Watu 12 wamekufa lakini kuna watu wanascavenge kama fisi kwenye ajali. Hao ndio aina ya watanzania ambao viongozi wetu CCM na ata vyama vingine given the chance, wanawawakilisha. People who behave like animals? Wafanyweje?
   
 14. KYALOSANGI

  KYALOSANGI JF-Expert Member

  #14
  Mar 22, 2011
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 1,890
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Freema yaliyopo kwenye akili zetu ndio uhalisia wetu na ndio matakwa yetu ,kinyume chake hiyo sio akili
   
 15. KYALOSANGI

  KYALOSANGI JF-Expert Member

  #15
  Mar 22, 2011
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 1,890
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Viongozi wa vyama vingine umewajuaje na hatujawapa hiyo chance!
   
 16. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #16
  Mar 22, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,570
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  muanzisha thread bomoabomoa iko palepale! Magufuli kasema hivyo! siyo JK! so stay tuned!
   
 17. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #17
  Mar 22, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,357
  Trophy Points: 280
   
 18. B

  BIGGAG Member

  #18
  Mar 22, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Huwezi kuwa mzalendo wewe duh!!!!!!! Utakuwa mtu wa mataifa wewe.
   
 19. N

  NAHUJA JF-Expert Member

  #19
  Mar 22, 2011
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 15,025
  Likes Received: 15,597
  Trophy Points: 280

  hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah:lol:
   
 20. Kinyambiss

  Kinyambiss JF-Expert Member

  #20
  Mar 22, 2011
  Joined: Dec 2, 2007
  Messages: 1,372
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Not saying wasipewe chance, ila tuu msitegemee chama fulani kuwa Masihi. Huo ndio ukweli. Watanzania ndio sisi ati!
   
Loading...