Magufuli umevuna ulichopanda baba!

sisi wenyewe tulihamia chadema na kufanikiwa kutwaa jimbo la ubungo kupinga ukandamizaji aliotufanyia magufuli mwaka 2001 kwa kutupandia mawe na mabango yanayoonyesha mwisho wa hifadhi ya barabara mita 120 kutoka katikati ya barabara kati ya ubugno hadi kiruvia badala ya mita 22 ambao ndio upana unaotamkwa na sheria.hivyo huyu sio mtetezi wa wanyonge hata kidogo
Msamehe bure aliodhani anawafurahisha wamengeuka, atajifunza polepole.Lakini huyu jamaa ni jembe, atafanyiwa engraving kidogo kidogo, jamaa zake hawajui umuhimu wake sisi tunampokea!!!!!!!!!!!!
 
Mara CUF mara CHADEMA..guys give him a break.Mwenyewe ni smart enough na anajua anachokifanya.Wewe kama unaona kuwa chadema au cuf ndiyo kutetea wanyonge just carry on.Muacheni Magufuli aendelee na shughuli zake.[/QUOTE]

hapo kwneye red ulimaanisha shughuli binafsi au?maan shughuli nyingine wamemwambia aache kutafuta sifa,yani alianza waziri mkuu akamalizia rais mchakachuaji...wamemwacha uchi..huwezi kuwa safi kama upo ccm..never..

Unaweza kuyataja majina ya watu safi walioko CUF na CHADEMA?Hayo ya Magufuli kuambiwa aache sifa unayasema wewe.Kuna taarifa mbili so far hapa JF.Wapo walioripoti kuwa Magufuli ameruhusiwa na Kikwete kuendelea na bomoabomoa,isipokuwa afuatilie kwanza historia ya barabara hizo na wanaostahili walipwe fidia na waongezewe muda wa kubomoa.Hizi ni baadhi ya kazi anazotakiwa afanye Magufuli.Hivyo mumuache na siyo kumshikia bango ajiunge na CUF au CHADEMA.
 
mi naona JK na P M wetu wanaangalia macho ya watu ili waonekane wako safi kwn yeye (JK) si ndo aliye mkabidh rungu mwache ali2mie vzr na k2 nnachoamini TZ ITAENDELEA PINDI WNYWE WATZ WATAKAPO AMUA KUENDELEA..2nd sis tunaishi tz kma wakmbzi yni kun nchi nyngine ndo kwe2...
Mungu Ibark Tz,.
Mungu Iangazie serikal ye2.,
AMEN!!...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom