Paul Alex
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 4,342
- 9,824
Nimeshikilia mengi ndani ya moyo nikiogopa amri zako toka hapo juu ulipoketi zisinitenganishe na wanangu, kama ilivyokuwa kwa Ben, zisinitenganishe na familia yangu. Nitalia nikiwa nimekufa mama yangu atakapoanza kunitafuta mortuary!
Ukijiangalia kwenye kioo utagundua mshtuko uliowaletea watanzania.
Umefanya mahoka yanayosimamisha nywele kwenye kichwa cha kila mtanzania.
Magufuli! tegemeo lililofifia, ndoto iliyokufa!
Imani ilitudanganya utakuwa suluhu ya shida zetu.
Nilianza siasa nikiwa kidato cha pili, wewe ni mwanasiasa wa hovyo kati ya wote niliowaona.
Sasa nimepitisha 30 na utanipotezea miaka mitano zaidi!