Magufuli turns Mnangagwa into a translator

Victoire ni.tag nione posts zako kwenye huu uzi..Please please dear, my very love!
 
Mkuu unaandika madesa marefu then UPUMBAVU. Unaulizwa kama kiingereza ndio maendeleo China ingefika pale?We unaleta desa refu la kipumbavu. Hivi nyie watu nani aliyewaroga?Ni nchi gani imekosa maendeleo au mambo hayaendi kisa Rais wao hajui kiingereza?Kitu gani Tanzania kimekwama kisa JPM hajui kiingereza?Utaleta story za aibu,Je kwa hiyo aibu unayoiona wewe Taifa limepoteza kiasi gani ambacho tayari kimemwathiri Raia wa Rombo au sumbawanga?Mimi nimeshuhudia viongoz wengi sana na wakubwa wanatembea na wakalimani wao. Je hawa nao nchi zao zina mattz kisa kiongoz wao hajui kiingereza?Ukifuata mtiririko wa HOJA utaona wapinzani ni WAPUMBAVU kiwango cha SGR. Hivi swala la kiingereza linaweza kuwa Hoja kweli?
 
Kuongea na kuandika ni vitu viwili tofauti
Ushawahi msikia Kim jing Un anaongea kiingereza? Au Angela Merkel, Putin, Xi jin P
Ushawahi msikia Theresa May au Trump anaongea lugha tofauti na kiingereza?
Huu ni ushahidi mwingine kuna watu hawatumii kabisa akili
 
Kuna mahali nimezungumzia Kingereza au Mtu na Lugha ya mtu?
Sina tabia ya kutukana .
Ngoja niachane na wewe!
Mana unaleta ishabiki maandazi .
Nazungumzia mawakala wa Mchina wanaojiita wazalendo wa Afrika wewe unazungumzia mambo ya Rombo na sumbawanga.
Hivi unafikiri Binadam anayewagawa ni nani kama sio watawala kwa interest zao?
 
Wewe unaleta UPUUZI kwenye mambo ya mcng.Ukisoma lile desa lako na ukatafakari utakubali kuwa ni we ni mpuuzi. Mara CCM mara China ni watu wabaya yaani lile desa ni pumba tupu.Unaulizwa kama kiingereza ndio maendeleo China ingefika pale?We unaleta story za CCM.
 
Kingereza cha darasani ni chepesi sana.
Mfano:
Mention two examples of democratic countries.

Kingereza cha mtaani ni shida sana
Mfano:
Enterpreneurship
 
Hivi huonagi aibu kuandika pumba?
 
Hivi huonagi aibu kuandika upumbafu?
Huwez jadili nachojadili coz kiko juu ya uwezo wako.Najua ulitaka niongee kama niko kwenye kibanda cha kahawa kama oooh jamaa hana akili, oooh nchi imeabika oooh hafai kua Rais nk. Najua like ningepata kama ningeandika upuuz kama huu.
 

I am sure unaelewa ila sasa hii ndiyo kazi unayolipwa kwa kodi zetu kufanya humu jf. Wakati sisi tunaumiza vichwa juu ya mustakabali wa nchi yetu kwenye medani ya kimataifa ninyi mmepewa kazi ya kumpigania mtu! Very pathetic! Kuzungumza na vyombo vya habari vya nje ya nchi yetu ni moja ya majukumu ya rais kwani yeye ndiye mwanadiplomasia namba moja wa nchi yetu. Alishindwa hilo jukumu. Alishindwa kuuza nchi yetu kimataifa kwenye vyombo vya habari. Sasa kama anashndwa Zimbabwe UN je? Ramaphosa aliteuliwa kuwa rais mwaka mmoja uliopita lakini tayari ameshahutubia Baraza Kuu la Umoja Mataifa. Hii ni kwa sababu kiongozi mgeni wa nchi lazima apewe hiyo nafasi. Je, hilo siyo jukumu lingine la rais ambalo limeshindikana? Rais wetu baada ya kuchaguliwa alikaa miaka 3 bila kukutana na mabalozi wa nje walioko hapa. Kosa. Amekutana nao mwaka huu baada ya kupata upenyo wa kutumia kiswahili! Sasa kama marais wanatembea na wakalimani huyu wa kwetu mbona hawakufanya hivyo? Mpaka mwenyeji wake asiyejua hiyo lugha akageuka mkalimani? Ni kwa sababu rais wetu anapotembelea nchi mwanachama wa jumuia ya madola hahitaji mkalimani. Isitoshe siku chache tu kabla tulionyehwa video ikidaiwa rais aliendesha mkutano kwa lugha ya Kiingereza! Ghafla huyo huyo akashindwa kuzungumza na wanahabari kwa Kiingereza na hana mkalimani! Halafu, this time kimya, hakuna cha video wala nini. Meaning it was an embarrassment to everybody including the praise team. Haya, endeleeni na ujuha wenu lakini tunajua kuwa hata kama mifumo ya nchi hii imevurugwa sana hili kosa halitarudiwa tena. Nchi hii haina uhaba wa wanasiasa wenye viwango.
 
Viongoz wote wanaohutubia Umoja wa Mataifa wanahutubia kwa kiingereza?Viongoz wote duniani wanaongea kiingereza?Viongoz ambao hawaongei kiingereza kama wa huko ujerumani, ufaransa, China nk Hawafanyi shughuli za kidiplomasia?Medani ya kimaita ni Kuongea kiingereza tu?Wale viongoz waliopita wa Tanzania na nchi zingine wameendeleza nchi zao vipi toka tupate uhuru kwa kuongea kiingereza?Ramaphosa kahutubia umoja wa mataifa kisa anajua kiingereza au ni kutokana na status ya nchi yenyewe?Rais wa Malawi kaapishwa week hii,je naye kahutubia umoja wa mataifa na kiingereza chake tayari nchi yao imeendelea?Ebu njoo na hoja za mcng ukieleza ni kwa jinsi gani taifa linapata hasara kwa Rais kutojua kiingereza.
 
Huwez jadili nachojadili coz kiko juu ya uwezo wako.Najua ulitaka niongee kama niko kwenye kibanda cha kahawa kama oooh jamaa hana akili, oooh nchi imeabika oooh hafai kua Rais nk. Najua like ningepata kama ningeandika upuuz kama huu.
Nonsense!
 
Ùtetez wa kiboya sana huu
 
Ni huyu hapa anayesimamia lugha au lugha imempitia pembeni?


Ipo tofauti kubwa ya kusimamia lugha na lugha kumpitia mtu pembeni. Nadhani ukweli huo unaufahamu na mkweli ni mpenzi wa Mungu.
Duh!
 
Chinese, Japanese, Russians, Germans, Frenchmen, Koreans, Italians etc, wanatumia lugha zao hizo kama "Medium of Instruction" kwenye shule na vyuoo vyao.

Hivyo kwao kujua kiingereza sio lazima sana tofauti na huku kwetu ambapo kiingereza ndio "Medium of Instruction" kuanzia sekondari na kuendelea, kitu ambacho kinafanya watu washangae pale wanapomuona mtu mwenye PhD eti anashindwa kujieleza kwa kiingereza.

Kama elimu yetu ingekuwa inafundishwa kwa kiswahili tu mwanzo hadi mwisho, sidhani kama huu mjadala ungekuwa na maana asilani, lkn kwa mazingira ya sasa, lazima tushangae. Hoja ya kwamba mtu aliyesoma sayansi hawezi kukimudu vizuri kiingereza ni uongo wa karne.
 
Ukifikiri kwa weredi,utagundua tatizo lipo kwa mwakyembe,Na kin Kabudi.its shame
 
After speaking exclusively in his native Swahili, Magufuli turned to the journalists present and said: “I Know you will cut some of the words.”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…