perfect hunter
Senior Member
- Jul 12, 2015
- 153
- 94
Naaam, ni miezi takribani minne sasa tangu hostel za chuo kikuu cha mlimani (udsm) zitegemewe kukamilika na kuanza kutumiwa na wanafunzi wa chuo hicho kwaajiri ya malazi.
Ila hali ni tofauti mpaka sasa ambapo wanafunzi bado wapo mitaani wakihangaika na makazi ijapokuwa waliahidiwa kuanza kuzitumia mwanzoni mwa mwezi wa tatu mwaka 2017.
Nadhani tamko la Raisi Magufuli likitoka litafanya watendaji husika kushughulikia jambo hilo na kupunguza kero kwa wanafunzi ikiwa ni pamoja na kuwarudishia imani ambayo imeanza kupotea.
Nawasilisha.