Magufuli: Subirini ushindi wa Tsunami

Magufuli: Subirini ushindi wa Tsunami

Mungu akisema ndio hakuna wa kusema hapana. Mawazo ya Mungu siyo mawazo yetu. Kusudi ka Mungu halizuiliki kamwe. Rais wa awamu ya tano ataamulia baada October 25th, kwa sasa hakuna anayemfahamu
 
JPM ndo rais maana ndani ya dk 3 aliweza konga moyo ya walokua wanamzomea mbeya wakageuka kumshangilia hii inaonesha anauwezo sana wa kubadili na kuunganisha watanzania hapakazitu
 
Kwa kila dalili za kampeni na watu wengi wasomi na wasio wasomi zinaonyesha kuwa Dk. Magufuli atakuwa Rais wa Tanzania. Pia ukiona kampeni ya CDM na Ukawa na team yao wanachanganyikiwa hata pale ukimwona mgombea wao anaweweseka na kusema maneno ya kutojiamini. Hizi ni dalili tosha mambo yao pamoja na jahazi lao yanaenda kombo.

Hapa CDM inatapatapa wameanza wote kuweweseka. Baba, Baba Magufuli "Hapa Kazi Tuu!"

Dr Magufuli asubili kuapishwa.
 
Akiapishwa tu tunataka mahakama ya mafisadi siyo vinginevyo hawa mafisadi lazima tuwatie adabu.
 
Naona wewe ndo unatapatapa.kuongea sana sio ndokutenda kazi.tumechoshwa na manene ya ahadi zauongo kilasiku CCM ipishe njia Ukawa itufanyie mambo.
 
Kwa kila dalili za kampeni na watu wengi wasomi na wasio wasomi zinaonyesha kuwa Dk. Magufuli atakuwa Rais wa Tanzania. Pia ukiona kampeni ya CDM na Ukawa na team yao wanachanganyikiwa hata pale ukimwona mgombea wao anaweweseka na kusema maneno ya kutojiamini. Hizi ni dalili tosha mambo yao pamoja na jahazi lao yanaenda kombo.

Hapa CDM inatapatapa wameanza wote kuweweseka. Baba, Baba Magufuli "Hapa Kazi Tuu!"

Na Kwa Kuongezea Na Kuwatia NDIMU Zaidi Wapumbavu Na Malofa Wote Ni Kwamba Mpaka Jana Tumeshamaliza Kupanga Wakuu Wapya Wa Wilaya Na Ziara Ya Kwanza Ya Rais Magufuli Ni Mwezi December 2015 Nchini Urusi Kwa Mwaliko Wa Rais Vladmir Putin Huku Mwezi Wa February Kuna Uwezekano Mjumbe Maalum Kutoka Kwa Baba Paroko Papa Francis Akaja Kuleta Taarifa Za Ujio Wa Papa Francis Nchini Tanzania Huku Mwakani Mwezi August au September Tanzania Tukapata Ugeni Mwingine Wa Kiongozi Mkuu Wa KIMAMLAKA Ya Kiislamu Duniani Atokaye Nchini Iran. Wana UKAWA Msikate Tamaa Endeleeni Tu Kujazana Huko Ktk Mikutano Yenu Na Kudanganyana ILA Sisi CCM Tumeshamaliza Kazi Muda Mrefu Na Sasa Tupo Busy Na Kuanza Kuandaa Protocals Zote Za Rais Wetu MTEULE Dr. John Pombe Joseph Magufuli. Ningekuwa Mimi Ndiyo UKAWA Ningeacha Tu KUPOTEZA Muda Na Kupiga Kampeni Ya Kitu Ambacho Hamna UHAKIKA Nacho au HAMTOKIPATA Hata MKIFANYEJE!
 
Mungu akisema ndio hakuna wa kusema hapana. Mawazo ya Mungu siyo mawazo yetu. Kusudi ka Mungu halizuiliki kamwe. Rais wa awamu ya tano ataamulia baada October 25th, kwa sasa hakuna anayemfahamu

Hayo ndio maneno, ila katika nyuzi nyingi nimeona kama CDM wanasema Mungu ni wa kwao, wameanza naye watamaliza naye!
 
Kwa kila dalili za kampeni na watu wengi wasomi na wasio wasomi zinaonyesha kuwa Dk. Magufuli atakuwa Rais wa Tanzania. Pia ukiona kampeni ya CDM na Ukawa na team yao wanachanganyikiwa hata pale ukimwona mgombea wao anaweweseka na kusema maneno ya kutojiamini. Hizi ni dalili tosha mambo yao pamoja na jahazi lao yanaenda kombo.

Hapa CDM inatapatapa wameanza wote kuweweseka. Baba, Baba Magufuli "Hapa Kazi Tuu!"
Hahahahaaaaa nimejikuta nacheka tu kwa huu ujinga ulioandika.
 
Attachments

  • 1443436724850.jpg
    1443436724850.jpg
    27.8 KB · Views: 94
  • 1443436742581.jpg
    1443436742581.jpg
    76.3 KB · Views: 94
Usitegemee nyumbu wamchague mtu awe rais never, RAIS NI MAGUFULI
 
Kwa kila dalili za kampeni na watu wengi wasomi na wasio wasomi zinaonyesha kuwa Dk. Magufuli atakuwa Rais wa Tanzania. Pia ukiona kampeni ya CDM na Ukawa na team yao wanachanganyikiwa hata pale ukimwona mgombea wao anaweweseka na kusema maneno ya kutojiamini. Hizi ni dalili tosha mambo yao pamoja na jahazi lao yanaenda kombo.

Hapa CDM inatapatapa wameanza wote kuweweseka. Baba, Baba Magufuli "Hapa Kazi Tuu!"

Last edited by a moderator:
Kapimwe wewe mwenyewe wewe ndio uliomuapisha useme ni rais mbona kwenye hao wasomi mimi sipo kama unasema wasomi wamehakiki hilo
 
Hilo wazi. Hatutaki mtu anayeutaka urais. Sisi tutatafuta rais wetu anayetufaa. JPM ndio rais baada tu ya kusimamishwa na ccm wakati wa uteuzi.

hahahah!! hata JPM anautaka urais, kama hautaki ajitoe tuone!
 
Na Kwa Kuongezea Na Kuwatia NDIMU Zaidi Wapumbavu Na Malofa Wote Ni Kwamba Mpaka Jana Tumeshamaliza Kupanga Wakuu Wapya Wa Wilaya Na Ziara Ya Kwanza Ya Rais Magufuli Ni Mwezi December 2015 Nchini Urusi Kwa Mwaliko Wa Rais Vladmir Putin Huku Mwezi Wa February Kuna Uwezekano Mjumbe Maalum Kutoka Kwa Baba Paroko Papa Francis Akaja Kuleta Taarifa Za Ujio Wa Papa Francis Nchini Tanzania Huku Mwakani Mwezi August au September Tanzania Tukapata Ugeni Mwingine Wa Kiongozi Mkuu Wa KIMAMLAKA Ya Kiislamu Duniani Atokaye Nchini Iran. Wana UKAWA Msikate Tamaa Endeleeni Tu Kujazana Huko Ktk Mikutano Yenu Na Kudanganyana ILA Sisi CCM Tumeshamaliza Kazi Muda Mrefu Na Sasa Tupo Busy Na Kuanza Kuandaa Protocals Zote Za Rais Wetu MTEULE Dr. John Pombe Joseph Magufuli. Ningekuwa Mimi Ndiyo UKAWA Ningeacha Tu KUPOTEZA Muda Na Kupiga Kampeni Ya Kitu Ambacho Hamna UHAKIKA Nacho au HAMTOKIPATA Hata MKIFANYEJE!

Peleka ujinga huko Huna adabu gamba ww
 
Hatufanyi ushabiki, muhongo ni kati ya wazalendo wa hali ya juu kwenye taifa hili, wafanyabiashara wenye uchu na gesi ndio waliohakikisha anatoka. kwa maslahi mapana ya taifa hili tunamuitaji muhongo nishati na madini

Mwambie ajaribu tena urais 2020, kwa sasa tuko bize
 
Hahaaaa!

CCM ilipomchagua makufuli iliona ahueni japo chaguo lao alikuwa Membe ukweli ulio wazi wananchi wameichoka CCM leo Magufuli anaonekana kichekesho kwa unyenyekevu wa push up anaoufanya jukwaani ata uwezo wa upishi anaotamba nao imekuwa kama kichekesho ukiongeza na ze comedy bas ni tosha kuwa wengi wanafata comedy kwenye mikutano na si sera.

CCM ilishindwa kwa kupuuza matakwa ya wananchi na hilo ndio linalowagharimu kwa sasa. Tumaini la wengi Lowassa.
 
Back
Top Bottom