East African Eagle
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 3,759
- 2,209
Safari hii uwanja wa Taifa hautatosha kumwapisha Magufuli.Magufuli kura atakazopata zitavunja rekodi ya maraisi wote kasoro Nyerere.Atapata kura ailimia 80 kwenda juu.Wana CCM tusijitie unyonge kwa kelele za UKAWA ushindi ni wetu kwa namna wagombea wetu wanavyouzika huko majimboni. Tujiandae na sare zetu kusubiria kuapishwa kuanzia Rais, wabunge na madiwani.