Magufuli: Subirini ushindi wa Tsunami

Magufuli: Subirini ushindi wa Tsunami

Kutokana na kampeni zilizokwisha fanyika hadi hivi sana ktka mikoa 10 aliyozunguka Dr Magufuli imedhihirika wazi wanainchi wanainchi wanasubili kuapishwa kwake kutokana na uwezo wake binafsi alionao katika utendaji wa majukumu yake. Hata hivo wanainchi wengi wamekuwa wakijitokeza na kila anapopita wamekuwa wakimpapongeza zaidi kwa kuchaguliwa kwake kuwa rais mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na wengine wakisema wanamfahamu hata asipozunguka uwezo wake kujenga hoja, kusimamia kazi na hata kuwa karibu na jamii hata mtoto mdogo analifahamu hilo.

Hongera sana Dr John Pombe Magufuli kwa KUCHAGULIWA KWAKO NA WANAINCHI KUWA RAIS WA AWAMU YA TANO.

Inaonesha hata sifa za kupiga kura huna wewe! Wewe ni mtanzania kweli???
 
Lowasa ndio rais wetu watanzania tumeshaamua kumpa nchi

Leo asubuhi ngome ya Lowasa, Arusha, imetikiswa kwa mazoezi ya ndege za kivita. Nilikuwa maeneo ya relini mikasikia akina mama wakasema 'kama vita ndo iko hivi, tutaichagua CCM itulindie amani yetu'. Point yangu ni kuwa jambo dogo sana linaweza kubadilisha mawazo ya wapiga kura.
 
Ngeze: Kura za wana CCM pekee hazitoshi

Mwenyekiti mstaafu wa CCM Mkoa wa Kagera, Pius Ngeze amesema wameunda kamati ya wazee wa mkoa huo ili watumie uzoefu wao kutafuta ushindi, akisema kura za wanachama pekee haziwezi kuwavusha wagombea wa chama hicho.
Fuatilia hiyo link hapo juu upate ukweli wake. Sio kila kitu ni propaganda tu.
Na mimi napigia kura wagombea wote wa UKAWA!

 
Kwa wale ambao hamjui na wala hamjitambui, Dr pombe Jon magufuli ndie Rais wa JMT. Mark my words 39days remains

Huyu Dr. Kidevu ni winner wa vitoto vya kike alivyovizawadia kazi katika mashirika, wakara, taasisi na idara nyingi za wizara alizoongoza.
 
kwa nini anatembea na lundo la wasanii kwenye kampeni zake?? tunaomba ufafanuzi maana wananchi wanataka sera na si mabonanza.
 
kwa nini anatembea na lundo la wasanii kwenye kampeni zake?? tunaomba ufafanuzi maana wananchi wanataka sera na si mabonanza.

Sasa na wewe si ungekua msanii ungekua Inn, Sasa kipaji chako viroba, huna maana.
 
Hahajajaja ASANTE 47pro unawapatia hawA 4U waliojazana humu ndani
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom