Mkuu mie nimeuliza tu!! wewe lete dalili na ishara...siyo unajibu ovyo...ovyo!!Tuliza kipago wewe dawa ikuingie, tar 25 Oct. Si mbali
bado hujajibu hoja - kwa nini CCM mnatembea na wasanii lundo? je mnakwenda tangaza SERA ama mabonanza??Sasa na wewe si ungekua msanii ungekua Inn, Sasa kipaji chako viroba, huna maana.
basi wafute uchaguzi, kama mambo yako wazi tusipoteze pesa tenaKwa wale ambao hamjui na wala hamjitambui, Dr pombe Jon magufuli ndie Rais wa JMT. Mark my words 39days remains
bado hujajibu hoja - kwa nini CCM mnatembea na wasanii lundo? je mnakwenda tangaza SERA ama mabonanza??
basi wafute uchaguzi, kama mambo yako wazi tusipoteze pesa tena
Kwanini ukila chakula kunakuwa na maji pembeni??
kusukumiza tonge unapoona limekukaba kooni
hilo halina ubishi kula zote zinaenda kwa magufuli.ukiwa wataisoma namba mwaka huu......kwa wale ambao hamjui na wala hamjitambui, dr pombe jon magufuli ndie rais wa jmt. Mark my words 39days remains
Kwa wale ambao hamjui na wala hamjitambui, Dr pombe Jon magufuli ndie Rais wa JMT. Mark my words 39days remains
Na wewe vaa skirt uzawadiwe