Magufuli, shujaa anayekufa na tai shingoni

Ni busara tujipange upya, tukiwatumia wataalamu wetu wa ndani kwa kutanguliza utaifa bila kujali itikadi za siasa zetu za kijinga tunaweza kufaulu kusitisha ulaghai wa Mali zetu japo sisi wenyewe ndo tulioruhusu kuibiwa
 
Vuta subira mleta mada. Makubwa zaidi yatatokea kuthibitisha kushinda au kushindwa kwake. Uwe na subira!
 
Akiangalia watanzania aina ya kina Polepole wanamsifu kwa kupewa $300M badala ya $194B yaani kitu kama 0.005% basi anatuliza moyo kwa kudhani akili za binadamu wote waishio Tanzania ni kama za kina Polepole, Wakudadavuwa, jingalao nk
 
Afie tu na tai yake shingoni hana namna tatizo la raisi wetu anapenda sana kutoa lugha zisizo na staha mbele ya kadamnasi tutegemee nini zaidi ya kumwacha aendelee na ubishi wake mwache afe nayo tu hiyo sikasema anataka watu waishi km mashetani ndo hvyo afe tu na tai yake tena ikiwezekani ajining'inize kabisa ajinyongee mbali
 
Kwa mawazo yangu, huwa ni ngumu sana kwa kiongozi yeyote kukili kwamba kashindwa. Hii vita ya makinikia naona atulie kwanza. Ni kawaida ya askali wanapoona kuzidiwa katika mapambano kuludi nyuma na kujipanga.
Afe tu hata na mkanda kiunoni tutatuma salamu za rambirambi
 
Misifa,ubabe,lugha chafu dharau,majigambo,uzushi,uongo,uuwaji ili kunyamazisha ukweli,hivi vyote ndivyo vinavyomponza huyu dhulumati wa kura za Lowasa.hatapata pumziko mpaka arudishe haki ya wananchi !.hapendeki popote pale na hili halina siri tena.nani anayependa mumiani,hatakama ni maskini ? Uoga wetu tu ndo unaomlinda ! Ila tukila zoezi la kutosha,la kufikia kukata tamaa,ajipange,yake ngumu.
 
Ni busara tujipange upya, tukiwatumia wataalamu wetu wa ndani kwa kutanguliza utaifa bila kujali itikadi za siasa zetu za kijinga tunaweza kufaulu kusitisha ulaghai wa Mali zetu japo sisi wenyewe ndo tulioruhusu kuibiwa
Kiukweli hili lingefanyika tungefika mbali mkuu
 
Afie tu na tai yake shingoni hana namna tatizo la raisi wetu anapenda sana kutoa lugha zisizo na staha mbele ya kadamnasi tutegemee nini zaidi ya kumwacha aendelee na ubishi wake mwache afe nayo tu hiyo sikasema anataka watu waishi km mashetani ndo hvyo afe tu na tai yake tena ikiwezekani ajining'inize kabisa ajinyongee mbali
Hapana mkuu onyesha moyo wa huruma
 
Back
Top Bottom