MKUYENGE
JF-Expert Member
- Jun 26, 2019
- 4,106
- 4,621
ila maneno ya taarabu kama ya mleta mada yananguvu?Mkuu kura haina nguvu Afrika!
Sent using Jamii Forums mobile app
ila maneno ya taarabu kama ya mleta mada yananguvu?Mkuu kura haina nguvu Afrika!
Nachelea kutumia lugha nzito kwako kwani huenda napishana na mzee wangu,
Ila pinga kwa hoja na mifano halisi kuwa taifa gani Africa lililoweza kwenda na huu mfumo nyonyaji uliojificha kwa kutetea eti haki za binadamu, ama ndio tunashanglia tu eti demokrsaia idumishwe? Wacha tujitawale kwa mifumo yetu wenyewe kujiletea maendeleo,
Fanya democrasia ndani ya familia yako kwanza ndipo ujone kama utaweza na uje na mrejesho hapa JF kama kweli umeweza kuumudu,
Jidanganye mbumbumbu weweHapo alipo pumzi imekata, hela hamna kabisa. Subiri tu utasikia vyema.
Acha kumfananisha Trump na Jiwe.Tofauti ni km mbingu na ardhi .Trump yupo kwa ajili ya maslahi ya marekani na wamarekani .Jiwe yupo kwa ajili ya maslahi yake binafsi&co!Katiba ya nchi unaijua? Uraisi mwisho miaka mitano na option ya kugombea muhula mwingine wa miaka mitano. Magufuli amesha ongoza mitano hata akigombea tena hataweza kuwa raisi zaidi ya 2025. Kwanza mwaka huu hakuna anaemchagua. He's doomed like Trump.
Toeni mapendekezo basi Nani awe mbadala...Urais wako unakoma Oct /2020 mwaka huu, hebu hata wewe jitathimini Kama kweli unafaa kuendelea kuongoza watanzania.
Hapa ulikolifikisha Taifa yatosha kabisa ,heshima yako itabaki pale pale Kama Rais mstaafu na hakuna utakachopungukiwa.
Maisha ya watu ni magumu kupindukia ktk awamu yako kuliko awamu zote zilizopita.
Eti kila anayelalamika maisha ni magumu eti alikuwa mpiga dili, hata watoto wadogo wanaolala na njaa nao walikuwa wapiga dili ndo maana wanalala njaa.
Mfumuko wa Bei ni mkubwa kupindukia, Pesa haipatikani mitaani kwa sababu umeanzisha miradi mingi kuliko uwezo wa nchi kiuchumi na kwa hiyo pesa zote zinaenda nje ya nchi na zile za Halmashauri umezihamishia serikali kuu eti zilikuwa zinaibiwa ila wezi hawakamatiki.
Tangu uingie madarakani hujaajiri wala kuongeza mishahara zaidi ya kufukuza watu kazi eti walikuwa na vyeti feki na Wafanyakazi hewa, mbona hao waliokuwa wakila pesa za Wafanyakazi hewa hatujaona hata mmoja akifikishwa mahakamani kwa uhujumu uchumi?
Wanaofikishwa mahakamani kwa uhujumu uchumi ni watu wanaokosoa utawala wako,kama Kabendera na Magoti.
Muda wako mwingi madarakani umeutumia kuua upinzani kwa kuwanunua Wapinzani na kuwahonga vyeo..
Uchumi unaouendesha ni wa aina yako mwenyewe, unaiga mataifa yaliyofeli huku ukitaka kufanikiwa.
Serikali huwa haifanyi Biashara, ATCL ungei privatize na siyo kutumia mabilioni ya Pesa kununua ndege badala ya kuboresha Elimu na Kilimo.
Mataifa yote yaliyofanikiwa Duniani yana mfumo mmoja, nao ni Demokrasia na Uchumi kuwa mikononi mwa watu na siyo serikali.
Hiyo China mnayojifanya wana CCM kuiiga, ina mfumo imara wa haki kwa watu wote chini ya Chama kimoja siyo nyie mnaolindana kwa kuitafuna nchi .
Na serikali ya China haifanyi tena Biashara, ime privatize njia zote za uchumi, ujamaa waliukimbia siku nyingi.
Mikononi mwako hakuna nuru ya mafanikio, umaskini ndo umekuwa role model ya watanzania, na kila anayekukosoa hadharani anakipata cha moto, bahati yake binafsi Ngurumo naye yangemkuta ya Ben Saanane na Azory Gwanda.
Tanzania nzima inalia maisha magumu, mradi wa umeme wa Hydro Power ulioanzisha kwa pesa nyingi hauna impact yoyote kwenye uchumi kwa sababu ni wa kizamani mno .
Nchi ikiingia kwenye ukame umeme unakuwa wa mgao tena, hakuna ulichofanya, ndo maana Wajerumani walikushauri wajenge mitambo ya umeme wa Gesi kwa umeme wa uhakika kwa sababu Gesi tunayo nyingi.
Tutaikumbuka mno hiyo hifadhi ya Selous ambayo miti zaidi ya milioni moja imekatwa ili kupisha ujenzi wa Bwawa la umeme.
Miti huwa inavuta mvua pia, sasa itakuwaje hali ya Geography ya mvua hilo eneo na wakati Bwawa linahitaji maji ili umeme upatikane?
Yetu macho.
Wakati wa Kampeni utatueleza nini watanzania?
Na unataka uendelee kutuongoza ili iweje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungesoma ukurasa wa kwanza mpaka post namba 8 tu ungeona post ninayoongelea.Paskali akitoa comment huambatanisha na article zinazohusiana na mada hiyo, wewe ujaweka bandiko lako la nyuma, mie tajuaje kuwa ulitolea maoni, na kwa kuwa sikuiona basi haihusiani na bandiko lako!
Pole kwa kukukwaza,si dhamira yangu!Ungesoma ukurasa wa kwanza mpaka post namba 8 tu ungeona post ninayoongelea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo tu hujanikwaza, nina shaka kama una uwezo wa kunikwaza.Pole kwa kukukwaza,si dhamira yangu!
Kwa kuongezea tu na serikali yao bado inamiliki sehemu kubwa ya uchumi kupitia makampuni hasa ya ujenzi na utengenezaji bidhaa mbali mbali. Makampuni makubwa binafsi kama tencent, Alibaba n.k, yanawajibika kuwa upande wa serikali kwa vyovyote vile.Nimesoma bandiko lako mleta mada, labda huifahamu China vizuri, China ni nchi inayokiuka haki za binadamu kupita maelezo. Walichofanikiwa wa China ni kuwajibisha viongozi wao. Kiongozi mbadhirifu China hukumu yake ni kifo kama si kifungo cha maisha.
Ukifungwa kifungo cha maisha China ni sawa na hukumu ya kifo. Haki za binanadamu haziheshimiwi, kuna documentary zinoaonyesha organs za wafungwa wa maisha huuzwa kwa raia wa Magharibi na pesa inaingia serikalini.
Sasa hiyo productivity itatoka wapi kama biashara haziendi utazalisha hivyo vituu umuuzie nani??? na hizo kampuni na firms zitatoa wapi rasilimali fedha za kuzalishia kama fedha zote baba jesca amezifungia B.O.T na zingine ana invest kwenye projects kubwa.think twice!Hehehee...JPM makes you see the fire like Richard Pryor. JPM amekata govt spending zisizo na maana: mfano utaongezaje mishahara wakati overall productivity haiendi juu?
Sote tunajua mwajiri mkuu ni private sectoe but huyi private sector ili atoe ajira za kumwaga ni lazima serikali iweke mazingira ya kiuchumi vizuri.Ni ajabu unalinganisha Tanzania na nchi zilizoendelea hapo hapo unasema Serikali haijaajiri, ni Serikali gani Dunia hii hutoa ajira kwa Wananchi? Tangia lini Serikali ikawa mwajiri mkuu? Isitoshe unaelewa kwa nini huitwa Shirika la ndege huitwa ,,national airline“ ?
Dont be foolish,western countries akitaka kuungamiza nchi kama Tanzania ni swala la sekunde tu.anaweza asitumie neno demcracy but akakuangamize vilevile kuanzia kwenye swala la ulinzi,uhai(madawa),infrastructures, ki msingi kila kitu tunamtegemea akiamu aitishe kitu kimoja tu sote tunaisha.Kaka tutawaliane kwa mifumo yetu, si demokrasia iliyoletwa na Wamagharibi wenye nia ovu na bara letu,
Pia mfumo wao hatuuwezi tunalazimisha tu kwani si sehemu ya tamaduni zetu kiutawala, yale yanayotokea ni moja ya mitegi yao ya mfumo wao wa kidemokrasia kumfanya mtawala aonekane mbaya kwa wananchi wake.
Mitego ya kichokozi kwa tawala zetu za kiafrika kwa vipandikizi chochezi ndani ya mataifa yetu wenyewe na ndipo watawala wanapogundua kuna mapandikizi yanatumika ndani ya taifa huyadungua kabla hayajaleta madhala makubwa baadae, sasa ndipo mabeberu yanajitokeza kuushutumu utawala husika kuwa haueshimu demokrasia na jinamizi haki za binadamu angali ni maadui ya uhai wa vizazi vijavyo,
Serikali in haki y kujilinda na maadaui ndani na nje ya mipaka yake,
Ova.
Kaka maendeleo ya nchi yanakuja kwa kuwa na mawazo kinzani,unapo kubali kukosolewa ndio maana halisi ya democrasia mimi sijui wewe neno democracy kichwani mwako umeliwekea tafsiri gani.Nachelea kutumia lugha nzito kwako kwani huenda napishana na mzee wangu,
Ila pinga kwa hoja na mifano halisi kuwa taifa gani Africa lililoweza kwenda na huu mfumo nyonyaji uliojificha kwa kutetea eti haki za binadamu, ama ndio tunashanglia tu eti demokrsaia idumishwe? Wacha tujitawale kwa mifumo yetu wenyewe kujiletea maendeleo,
Fanya democrasia ndani ya familia yako kwanza ndipo ujone kama utaweza na uje na mrejesho hapa JF kama kweli umeweza kuumudu,