Elesx0
Member
- Oct 10, 2015
- 66
- 28
Why commenting like stupid? Unamaanisha nini kusema key industries?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwana mdogo, uelewa wako ni mdogo mno kwenye mada Kama hii,
Walimu huajiriwa na Kampuni gani Kama siyo serikali?
Elewa maudhui ya mada ,National Airline ni serikali kufanya Biashara jambo ambalo ni la hovyo kabisa.
Kazi ya serikali ni kukusanya kodi na kusimamia uchumi kupitia Central Bank na Treasury.
Pesa za serikali ni kwa ajili ya Elimu, Afya na infrastructures.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila nchi Dunia hii ina ,,key industries“ zake ambazo kama ikibidi Serikali hutumia kodi za Wananchi kuzilinda, na hiyo ni Dunia nzima, isitoshe kwenye post yako haujaonglea Walimu bali umesema Serikali haitoi ajira.
Sent using Jamii Forums mobile app