Magufuli Pumzika, yatosha sasa!

Magufuli Pumzika, yatosha sasa!

Sio anaamini, anajua kabisa hakuna Mungu, angeamini uwepo wa Mungu asingefadhili mradi wa Nuclear particle wa CERN au kujenga na kumiliki largest telescope inayoitwa L.U.C.I.F.E.R ili kutupatia data za uongo kuhusu unajimu
Unaweza kushangaa Papa anaamini hakuna Mungu vilevile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dont be foolish,western countries akitaka kuungamiza nchi kama Tanzania ni swala la sekunde tu.anaweza asitumie neno demcracy but akakuangamize vilevile kuanzia kwenye swala la ulinzi,uhai(madawa),infrastructures, ki msingi kila kitu tunamtegemea akiamu aitishe kitu kimoja tu sote tunaisha.
Wanaweza kuangamiza nchi uarabuni tu.Vennezuela kwa maduro mbona wameshindwa na Cuba pia
 
Ni ajabu unalinganisha Tanzania na nchi zilizoendelea hapo hapo unasema Serikali haijaajiri, ni Serikali gani Dunia hii hutoa ajira kwa Wananchi? Tangia lini Serikali ikawa mwajiri mkuu? Isitoshe unaelewa kwa nini huitwa Shirika la ndege huitwa ,,national airline“ ?
We kima mbina jk aliajiri Kila mwaka walimu wote waliohitimu nchi nzima. Unataka kusema hii serikali ni perculiar au!
 
Bwana mdogo, uelewa wako ni mdogo mno kwenye mada Kama hii,
Walimu huajiriwa na Kampuni gani Kama siyo serikali?
Elewa maudhui ya mada ,National Airline ni serikali kufanya Biashara jambo ambalo ni la hovyo kabisa.
Kazi ya serikali ni kukusanya kodi na kusimamia uchumi kupitia Central Bank na Treasury.
Pesa za serikali ni kwa ajili ya Elimu, Afya na infrastructures.

Sent using Jamii Forums mobile app
We nae ni wale wale, kama pesa za serikali ni kwa ajili ya elimu,afya na miundo mbinu mbona unakosoa ujenzi na miradi mikubwa mikubwa!?

Unajitoa ufahamu kumbe unajua A na B stupid!

Tatizo ufahamu wako ni mdogo mno, hizo infrastructures atazilinda nani Kama nchi haina wasomi?
Huwezi kujenga madaraja ya Gharama kubwa katikati ya wajinga wengi, matokeo yake watu wanang'oa mataruma ya Reli na kwenda kuuza vyuma chakavu ili wapate pesa ya kula, mwisho wa siku Treni inaua maelfu ya watu kwa sababu ya sh elfu 20 tu.
Elimu, Elimu, Elimu ndo kila kitu na siyo kuwa na infrastructures bila Elimu...
Stupid kabisa nyie watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umepotea muda wako bure, yaani unadhani kitu inaitwa dola inaachiwa kiurahisi kwa sababu ulizotoa.huyo unayetarajia awe mkuu wa nchi atakabidhiwa na nani dola. Mpigie simu mama Hirary Clinton muulize zile popular votes kwa nini hazikumuingiza white house. Chunga sana Neno nchi siyo kama kiosk kwamba yoyote anaweza kuachiwa kuuza
Kama unalijua hilo?
Basi ndo maana hata Tanzania imepata mtu wa hovyo kabisa kuwahi kutokea, kwa sababu Urais siyo wa kila mtu, hata Magufuli hakufaa kuwa Rais.
Good enough, umejenga hoja na kujijibu mwenyewe, Hongera sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Urais wako unakoma Oktoba 2020, hebu hata wewe jitathimini Kama kweli unafaa kuendelea kuongoza watanzania.

Hapa ulikolifikisha Taifa yatosha kabisa ,heshima yako itabaki pale pale Kama Rais mstaafu na hakuna utakachopungukiwa.

Maisha ya watu ni magumu kupindukia ktk awamu yako kuliko awamu zote zilizopita.

Eti kila anayelalamika maisha ni magumu eti alikuwa mpiga dili, hata watoto wadogo wanaolala na njaa nao walikuwa wapiga dili ndo maana wanalala njaa.

Mfumuko wa Bei ni mkubwa kupindukia, Pesa haipatikani mitaani kwa sababu umeanzisha miradi mingi kuliko uwezo wa nchi kiuchumi na kwa hiyo pesa zote zinaenda nje ya nchi na zile za Halmashauri umezihamishia serikali kuu eti zilikuwa zinaibiwa ila wezi hawakamatiki.

Tangu uingie madarakani hujaajiri wala kuongeza mishahara zaidi ya kufukuza watu kazi eti walikuwa na vyeti feki na Wafanyakazi hewa, mbona hao waliokuwa wakila pesa za Wafanyakazi hewa hatujaona hata mmoja akifikishwa mahakamani kwa uhujumu uchumi?
Wanaofikishwa mahakamani kwa uhujumu uchumi ni watu wanaokosoa utawala wako,kama Kabendera na Magoti.

Muda wako mwingi madarakani umeutumia kuua upinzani kwa kuwanunua Wapinzani na kuwahonga vyeo.

Uchumi unaouendesha ni wa aina yako mwenyewe, unaiga mataifa yaliyofeli huku ukitaka kufanikiwa.

Serikali huwa haifanyi Biashara, ATCL ungei privatize na siyo kutumia mabilioni ya Pesa kununua ndege badala ya kuboresha Elimu na Kilimo.

Mataifa yote yaliyofanikiwa Duniani yana mfumo mmoja, nao ni Demokrasia na Uchumi kuwa mikononi mwa watu na siyo serikali.

Hiyo China mnayojifanya wana CCM kuiiga, ina mfumo imara wa haki kwa watu wote chini ya Chama kimoja siyo nyie mnaolindana kwa kuitafuna nchi .

Na serikali ya China haifanyi tena Biashara, ime privatize njia zote za uchumi, ujamaa waliukimbia siku nyingi.

Mikononi mwako hakuna nuru ya mafanikio, umaskini ndo umekuwa role model ya watanzania, na kila anayekukosoa hadharani anakipata cha moto, bahati yake binafsi Ngurumo naye yangemkuta ya Ben Saanane na Azory Gwanda.
Tanzania nzima inalia maisha magumu, mradi wa umeme wa Hydro Power ulioanzisha kwa pesa nyingi hauna impact yoyote kwenye uchumi kwa sababu ni wa kizamani mno .

Nchi ikiingia kwenye ukame umeme unakuwa wa mgao tena, hakuna ulichofanya, ndo maana Wajerumani walikushauri wajenge mitambo ya umeme wa Gesi kwa umeme wa uhakika kwa sababu Gesi tunayo nyingi.

Tutaikumbuka mno hiyo hifadhi ya Selous ambayo miti zaidi ya milioni moja imekatwa ili kupisha ujenzi wa Bwawa la umeme.

Miti huwa inavuta mvua pia, sasa itakuwaje hali ya Geography ya mvua hilo eneo na wakati Bwawa linahitaji maji ili umeme upatikane?
Yetu macho.

Wakati wa Kampeni utatueleza nini watanzania?
Na unataka uendelee kutuongoza ili iweje?

***************
Kumbe uwezo wako wa kuchanganua mambo ni mdogo kiasi hiki?

Je nayule aliye taka mzunguko wa pesa na akambiwa ukaolewa hata baada ya kusifia naye alikuwa anapiga dili?
 
Mmeanza kumuomba yeye sasa aachie baada ya kuona watanzania hawatawasaidia....ufipa mna vituko. Hii spidi ni 2025.
 
Mtanzania gani analipenda hili jamaa. Mbona anagoma tume huru ya uchaguzi Kama anaamini watanzania wako nyuma yake. Mbona anatumia nguvu kuwazuia wapinzani wasifanye mikutano mikoani kama anaamini watanzania wako nyuma yake!
 
Toa stress mkuu kwa kuongea pumba. Kuongea uhoro ni Therapeutic, jiinjoi mkuu, ni siku yako. NImeshakusoma ni zero brain.
 
Zero brain ni hili jamaa lililosukumiziwa urais. Halielewi misingi ya uongozi linapuyanga tu linalokuja kichwani!
 
Ni ajabu unalinganisha Tanzania na nchi zilizoendelea hapo hapo unasema Serikali haijaajiri, ni Serikali gani Dunia hii hutoa ajira kwa Wananchi? Tangia lini Serikali ikawa mwajiri mkuu? Isitoshe unaelewa kwa nini huitwa Shirika la ndege huitwa ,,national airline“ ?
This is abysmal, Rais ndiye mwajiri Mkuu babarosaaa. Hata hili hulijui kweli?! Nilitegemea umpinge jamaa kwa hoja madhubuti kumbe dah!
Acha niishie hapo maana umeandika usiyoyaelewa.
 
FAHAMU MAMBO MACHACHE ALIYOFANYA RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE
1. Daraja la Kigamboni
2. Daraja La Kilombero
3. Daraja la Umoja
4. Daraja la Maragarasi
5. Chuo Kikuu cha Dodoma
6. Hospitali ya Mloganzila
7. JNIA terminal III
8. DART(Mwendo kasi)
9. Sekondari za Kata nchi nzima kila kata ina shule.
10. Mradi mkubwa wa maji wa Ziwa Victoria
11. Songwe Airport
12. Kigoma Airport
13. Tabora Airport
14. Umeme wa REA
15. Benjamin Mkapa hospital Dodoma
16. Chuo kikuu cha Nelson Mandela Arusha
17. Dangote industry
18. Bomba la gesi Mtwara Dar
19. Kinyerezi I&II
20. Hospitali ya Moyo
21. MOI
22. Nchi nzima kuunganishwa kwa barabara za lami(zaidi km 14000 zilijengwa nchi nzima)
23. Umeme kwa makao makuu ya wilaya
24. Kuvusha Umeme Zanzibar
25. Ujenzi wa Mkongo wa taifa wa mawasiliano(leo tunajimwambafai na internet matunda ya JK)
26. JNICC Conference center(Ukumbi wa kisasa)
27. Hata CCM wenyewe aliwajengea ukumbi wa kisasa Dodoma.
28. Nyongeza ya mishahara kwa watumishi kila mwezi julai
29. Ajira kila mwaka
30. Annual Increment ilikuwa haki ya Mtumishi.
32. Diplomasia ya kimataifa ilikuwa juu katika ukanda wa maziwa makuu.
33. Demokrasia iliyopevuka
34. Aliwagomea CCM na kuwaambia hoja za kisiasa hujibiwa kisiasa, sio kwa kipigo cha polisi.
Hayo ni machache ya Jakaya Mrisho Khalfani Kikwete lakini hakujimwambafai.

Kwakuhitimisha Kikwete alifanya makubwa na Mikopo aliyokopa kila mmoja ananufaika nayo na vitu vinaonekana.

[emoji117]Kubwa zaidi lingine aliwaunganisha watz kwa pamoja bila kujali vyama vyao mpinzan kwake hakuonekana kama adui

Ukiona mtu anambeza KIKWETE mtafakari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom