Magufuli ni Rais Mwenye Mshahara Mdogo Afrika

Magufuli ni Rais Mwenye Mshahara Mdogo Afrika

Tanzanian president discloses salary, one of lowest among African leaders

Reuters wameripoti rais Magufuli ni katika maraisi wenye mishahara midogo sana Afrika. Na hana njia nyingine ya kipato. Wamelinganisha mshahara wa dola 4000 kwa mwezi anazopata Magufuli na mshahara wa dola 14, 000 kwa mwezi anazolipwa rais wa Kenya.



Acha unyang'ao angekuwa na mshahara mdogo chato airport ingejengwa? 10% ya mv dsm iko wapi? Barabara chini ya kiwango zingekuwepo mfano kimara had kivukoni!!!!!?? Hela anazogawa mwanxa na shinyanga je, huyu ni raaangoo kuliko majambazi
 
Utajuaje kama ni mdogo wakati huku kwetu mshahara wa rais ni siri.
 
Kwa benefits anazo pata rais wakati na baada ya urais wake, hastahili kulipwa mshahara.
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Wakati Magufuli anachukua milioni 9 kwa mwezi Uhuru anachukua milioni 31 Kenya. Hizo za halali za wizi si kipato cha kujivunia wala kutumainia.

Acha ujinga ww, mbunge analipwa 12m@mwezi kisha rais alipwe 9m!? Katafuteni wajinga muwaambie huu upuuzi. Weka salary slip yake hapa sio porojo zako.
 
Anahudumiwa kila kitu, mshahara huo hana kazi nao...
 
Kwani mtangulizi wake alikuwa analipwa kiasi gani? Na je yeye alivyoingia kajipunguzuia ? Au bado scale ni ile ile isipokuwa ukilinganisha na marais wengine ndo inaonekana ndogo?

Naombe nijibiwe ili nipate kufahamu.
 
Kwamba aliupunguza ule wa Kikwete au wa Mkapa? Lini alifanya hivyo? Salary Slip aliyowaahidi kuiweka hadharani mliiona? Sometimes Pombe inaact kama lile dingi la nyumba za Lugumi. Full misifa.
 
Wadanganye haohao mazwazwa mtu anaenunua ndege bila kushilikisha bunge akikwambia analipwa milion1 utakubali?
 
Nadhani ni lazima Rais wetu tumlipe vizuri tena haswa ili kuondoa ...kale kamsemo "....hats hivyo mlikuwa hamnilipi" we chuku km utaenda kugawa wewe... Km hatukulipi nani anakulipa?! Maana hakuna bure ... Tunakuamini na trillions of our money..ukifanya maamuzi ya kimaslahi?! Lazima ule mshahara ili tukija huko mbele tukunyooshe...
 
waweke na posho za bure atakuwa analipwa kuliko marais wote afrika
 
Huwezi muigaa trump maana hakuzijua pesa ukubwani na ukitaka ujue sizonje ana zipenda asinge komalia kodi. Sasa ye kusikia trump ana pokea dola moja naye kataka kuiga aonekane ni mzalendo( wakumba husemaga hiyo ni danganya toto)
 
Doto ni Mtoto wake wa nje sio mtoto wa dada yake kama anavyojulikana, Doto ni mwanae wanapiga pesa nyingi juu kwa juu ni baba na mtoto huwezi kuingilia ufanikiwe.
ulitaka apige pesa na dada zako? mtapiga kelele sana ila ukweli utabaki palepale. Magufuli ni rais bora. mliotumbuliwa na kuzibiwa mirija mtabaki mkirukaruka km bisi kikaangoni kwenýe media. kazi mnayo hadi 2025 na baada ya hapo tutarekebisha katiba tunamuongeza 10 mingine.
 
msema kwel ni mpenzi wa Mungu, huyu mzee ni muongo sana
 
Ana kampuni ya ujenzi huyo na kaipa tenda ya kujenga Airport Chato huko,ile pesa anaingiza pale si ya kitoto
 
Back
Top Bottom