Magufuli ni Rais Mwenye Mshahara Mdogo Afrika

Magufuli ni Rais Mwenye Mshahara Mdogo Afrika

Hata rais wa Marekani mshahara wake ni mdogo sana kulinganisha na ma CEO wa makampuni.

Pamoja na hayo, shida ya watz siyo raisi apewe mshahara mdogo. Kama raisi analeta maendeleo, hata akipewa mshahara mkubwa kiasi gani, hakuna atayelalamika.
 
Ufananishwe na mishahara ya wanyonge anongoza kwanza ......mshahara wake unatosha kulipa wanyonge zaidi ya 80 kwa mishahara ya kima cha chini cha sekta binafsi hapa nchini. [emoji26] [emoji26] [emoji26]
 
e53e5c3150d04ba32bfc9402beb91936.jpg
Arudishe tu itapendeza zaidi
 
je mawaziri wana lipwa ngapi?mlijuaje kua ana lipwa kiasi hicho cha fedha,bombadia ili nunuliwa pesa ngapi? je tuliekewa wazi? tuanzie hapa,
 
ndio maana anatapanya tapanya mali za nchi na wananachi, malipo ni lazima yaendane na uwezo wa kufanya kazi wanaofanya kazi kubwa kwa weledi uliotukuka lazima wapate zaidi. Hapa zinazoingia anavyotumia tu inaonyesha hata USD 4,000 ni kubwa mno na mpaka sasa hajui resources are scarce inahitajika scale of preference kufanya maamuzi.

Timua timua sio kazi muhimu kwa raisi wa nchi maskini kama yetu, hapa anatakiwa geneus atakaye durufu hiki hiki kidogo tunachopata kiwe mara 10 au x 1000 na kuwaondoa hawa mamilioni ya wananchi maskini japo wawe na hakika ya milo 3 kwa nusu mwaka tu achilia mbali kuendesha noah, sio kuunga unga huku mwaka mzima na kuishiwa kusimangwa na viongozi wasiojua wajibu wao kwa raia maskini.
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Wakati Magufuli anachukua milioni 9 kwa mwezi Uhuru anachukua milioni 31 Kenya. Hizo za halali za wizi si kipato cha kujivunia wala kutumainia.
 
Unajua kisa cha kumpa ukatibu mkuu wa wizara ya fedha mtoto wa dadaake ? Mkawadanganye wajinga .
Doto ni Mtoto wake wa nje sio mtoto wa dada yake kama anavyojulikana, Doto ni mwanae wanapiga pesa nyingi juu kwa juu ni baba na mtoto huwezi kuingilia ufanikiwe.
 
Kwahyo unataka tumchangie au?
Na mshahara wake mdogo zile pesa anazogawa anatoa wapi?
10% ununuzi wa ndege na 10% ujenzi wa Reli, ujenzi wa chato Airport, pesa toka Hazina kwenda kwa Lipumba zipo Dili nyingi anapiga pesa.
 
Km Rais anaweza kuamuru tu billion kumi zichukuliwe zikajenge hostel bila tathmini, anashindwa vipi kuamuru mabilioni kuingizwa kwenye account yake?

Mshahara wake ni kiini macho tu hicho
 
Back
Top Bottom