Independent-Mind
JF-Expert Member
- Mar 10, 2015
- 712
- 207
Ngugu yangu,tuweke umahaba pembeni unapozungumzia mawaziri ambao wako na uwezo wa ku-get job done basi bwana Pombe John ni namba moja,hatuwezi kufuta mazuri yote aliyoyasimamia kwa barabara yako ya ukonga-kivule.