Magufuli ni mnafiki kama Kikwete

Magufuli ni mnafiki kama Kikwete

JPM sio mnafiki tu, bali pia sio mpenzi wa Mungu kwa sababu haseme ukweli. Yeye mwenyewe anapenda sana kusisitiza huo msemo "msema kweli ni mpenzi wa Mungu" lakini yeye anajua kuwa hasemi ukweli. Kama ambavyo hatatokea kusema ukweli kwa jinsi gani wateule serikali waligawiana nyumba za umma yeye akiwa ndio msimamizi, ndivyo hivyo hivyo ambavyo hawezi kusema ukweli kuhusu uchaguzi wa ZnZ. Anajua fika kuwa NEC na ZEC sio tume huru, anajua fika kuwa Jecha alishinikizwa na viongozi wa chama chake kufuta matokeo, nk na bado anakuja kutamba mbele ya kadamnasi kuwa ni msema kweli! Huyu jamaa anajitafutia madhambi yasokuwa ya lazima mbele ya huyo Mungu wake anayemtaja kila mara.
acheni uchochezi
 
Magufuli ni mnafiki sana cha ajabu anatumia mind game kila wakati analia eti wananchi wamwombee wambee kitu gani yaani watanzania kwake ni madui baada ya TISS kumweka mafarakani hana uhakika eti amejitoa sadaka raisi gani aiyejiaminianayoyatekeleza kama anafuata utawala wa sharia hofu ya nini mpaka sasa yeye mwenyewe hajajitumbua jipu anatumbua ya wenzake tu ni unafiki mkubwa basi angeomba hata msamaha kwa wananchi kwa swala la nyumba anaenda kusimama kwenye kadamnasi anataja mishahaea ya watu kama vile hawakuata sheria kuipata
wivu
 
Kusema Magufuli ni Mnafiki. Nadhani hapo unalazimisha hoja tu kutokana na mtazamo wako binafsi. Mifano uliyotoa una-interpret kutokana na maoni yako tu.
 
Bosi ipo hivi, maumuzi ya tume hayaingiliwi na mtu yoyote. Rais hana mamlaka hayo. Hivyo hata tume wakifanya maamuzi ya kipuuzi rais hawezi kuingilia. Ndivyo katiba invyosema.

Katiba Inaruhusu Kupeleka Mbwa Bungeni na Kupiga wabunge? Mbona waliweza
 
H
JPM sio mnafiki tu, bali pia sio mpenzi wa Mungu kwa sababu haseme ukweli. Yeye mwenyewe anapenda sana kusisitiza huo msemo "msema kweli ni mpenzi wa Mungu" lakini yeye anajua kuwa hasemi ukweli. Kama ambavyo hatatokea kusema ukweli kwa jinsi gani wateule serikali waligawiana nyumba za umma yeye akiwa ndio msimamizi, ndivyo hivyo hivyo ambavyo hawezi kusema ukweli kuhusu uchaguzi wa ZnZ. Anajua fika kuwa NEC na ZEC sio tume huru, anajua fika kuwa Jecha alishinikizwa na viongozi wa chama chake kufuta matokeo, nk na bado anakuja kutamba mbele ya kadamnasi kuwa ni msema kweli! Huyu jamaa anajitafutia madhambi yasokuwa ya lazima mbele ya huyo Mungu wake anayemtaja kila mara.
Unaweza usikubaliane na alichosema lakini hakudanganya. Kikatiba hana mamlaka ya kuingilia tume.
 
Napinga maoni yako ya kichochezi

Kama Kusema Magufuli Ni Mnafiki Ni Uchochezi, Wacha Ni seme Tena, MAGUFULI NI MNAFIKI TENA SANA, Sikutegeme haya Kutoka Kwake. Kwanini Useme Kuwa Mimi Mchochezi, Sema Nimekufuru, kwa Maana Kwenu Huyu Magufuli ni Mungu, Mfalme asiyeguswa. Tanzania ya Zidumu Fikra Ilizikwa tangu 1992! Mimi Sitishwi Na Yeyote!
 
Unafiki wake Mwingine:


SIKU YA KUHUTUBIA BUNGE:
Suala La Zanzibar tutalishughulikia na
tutalimaliza haraka.....


SIKU YA XMAS:
Kama nilivyoahidi bungeni
suala la Zanzibar tutalimaliza
karibuni


SIKU YA WAZEE WA MKOA
WA DAR:
Suala la Zanzibar hatuwezi
kuliingilia kwasababu tume
huru na haiwezi kuingiliwa na
chombo chochote...
Kweli ni maigizo kutoka lumumba
 
Umalizwaji wa suala la Zanzibar ni kwa kurudia uchaguzi na wala si kwa rais kuvunja katiba na kuingilia mamlaka ya tume.
Ccm sioni ni kwanini wanaharibu fedha za walipa kodi kwa kuandaa huo uchaguzi wakati wameshapanga nani mshindi,wamtangaze tu huyo sheeiin maana wanaingia pekee yao
 
Kabla ya Kuzungumza dhumuni Kubwa La Post Hii Napenda Niweke wazi Kuwa, Kwa Miaka Mingi, Kuwashinda hata wengi wa wanaCCM, Nilitambua Uwezo Mkubwa wa Magufuli wa Kufanya Kazi. Nilikuwa na Shukurani Kubwa sana Kwa Magufuli kwa Upendo wake kwa Tanzania na Watanzania. Nilimpenda zaidi Kwa Tabia yake ya Kutokumwogopa yeyote.

Bahaati Mbaya sana Magufuli anatabia Moja mbaya, Ni Mnafiki, sio Mkweli Kama anavyosema "Msemakweli ni Mpenzi wa Mungu" Inapofikia Katika Maswala ya Siasa Magufuli sio mkweli wala mwenye haki, inayofanana na Magufuli wa Ujenzi wa Taifa na Huduma za Jamii.

Unafiki wa wazi ni Pale aliposisitiza Kuwa ati Majaji walimwambia Kuwa Hawana haja ya Kuonekana Live, akiwa anaweka dhana Kuwa Majaji wanamuunga Mkono kwa Kuingilia Utendaji wa Bunge. Swala la Kukatisha matangazo ya TBC ilikuwa ni kwa Lengo la Kuubana Upinzani Bungeni na Kuruhusu Uonevu. Kusema Vinginevyo Ni Unafiki,

Swala Lingine Lilikuwa Ni swala la Zanzibar, Magufuli anajua wazi, Kikwete na Mkapa, walishinikiza Jecha Kufuta matokeo kwa Maslahi ya CCM, Magufuli anajua kuwa NEC, na ZEC sio Tume Huru. Magufuli anajua Uhuni Uliotendeka Zanzibar, Kwa yeye Kujifanya Jecha alifanya maamuzi yake Kikatiba Ni Unafiki.

Watu wanasahau Kuwa Sio Madictator wote Ni wa Aina ya Mobutu, Wengine walikuwa Madictator wa Kuchaguliwa na Watu waoliwaabudu, Madictator hao walikuwa Tayari kutoa damu yao Kuwapa watu wao Wainywe kama wana Kiu. Lakini kwenye Ukubwa wangemtoa yeyote Roho. Mfano halisi alikuwa ni Adolf Hitler. I hope Magufuli Ataacha Unafiki When it comes to Politic.

Mnamjua Mpanju yule Jamaa wa Bunge la Katiba, sasa Hivi kapewa Ukubwa Kwenye Wizara ya Sheria na Katiba.
Mnamkumbuka Makonda na siasa zake za maji taka, Naye Pia alikuwa Kwenye Bunge la Katiba, Magufuli sasa anampa Chapuo
Naaamini hata Bi Asha Bakari asingefariki, angepewa Madaraka Makubwa Kwa Kumtukana Jusa Bungeni! Huyo Ndiye Magufuli Mwanasiasa!

Sikiliza Maneno Yake Katika Sherehe za CCM, Msikilize Mpka Mwisho, Kuna Mahali aliropoka Ukweli, Kuonyesha Zanzibar ilikuwa Ni "Kukataa Kutawaliwa"


sasa umetuelewa tuliposema sisi kina gogo la shamba kwamba, sura kamili ya Makufuli itajitokeza pale panapotakiwa kusema ukweli kwenye migogoro kati ya ccm na Chadema au chama chochote cha upinzani
 
Lol!....naona umeuweka unafiki pembeni kabisa na umeamua kumpa za uso wazi wazi na kumwita "MNAFIKI"

Ni kweli ni mnafiki na kila kinachofanyika ni cha kinafiki tu hata tumbua majipu ni unafiki kwa kwenda mbele

Kwa sababu huyu jamaa angekuwa si mnafiki kweli, angeshatumbua jipu kubwa la Tegeta Escrow Account na angeweza kusababisha ktk eneo hilo tu kupata zaidi Tshs bilion mia moja na ushee na wahusika kuanza kunyea madebe Segerea au Ukonga!

Eti kwa unafiki wake, anajivunia kuokoa 7bn kwenye sherehe za uhuru, ukimwi na kuzuia safari. Hivi 320bn (za Escrow scandal) na hii 7bn ni wapi na wapi kama si unafiki tu?

Ukweli Ni Kuwa Magufuli, anauzuri wake Mimi Sio Mnafiki wala Siogopi Kumsifia. Ila Mimi Ni aina ya Mtu, Baba yangu, Kaka yangu, Rafiki yangu, Mchungaji wangu nk akikosea siogopi Kumsema. Baba yangu ambaye sasa Ni Marehemu Tangu 2004, Nilishakuwa na Mzungumzo Naye, mwaka 1997, Nilimchambulia jinsi alivyoniudhi Katika Utoto wangu, alikuwa akimpiga Mama yangu Mpaka sisi watoto tukiwa mimi na Dada yangu mimi nikiwa na Miaka 9 na dada yangu miaka 7 Tulikuwa tukimwambia mama ondoka tu mama Uende kwa baba yako utuache tukifa basi. (Unapopigwa inatusonononesha) Sasa Pamoja na Kuwa Mzee Lekundayo Lebai Marandu, alijitoa sadaka kwetu. Nalimpenda sana. Lakini Mwaka 1997 Nilikaa naye Nikamsema kwa adabu mpaka akalia kwa kwikwi. Huo ndio Upenzi kwa Mungu. Leo Hii uniambie Nimwogope Mtu Baki?
Viongozi wa Afrika wanatufikisha Pabaya kwa Kuwa Tunawaabudu. Na wao Kibaya zaidi wanatarajia tuwaabudu. Ukweli Ni Kuwa Tuwaheshimu, Tuwasaidie, Lakini Tusiruhusu watuchezee. .... La, Kama ni hivyo Tulifanya Dhambi Kubwa Kumwondoa Mkoloni. Tulidai Uhuru wa Kazi gani?...
 
Ww baki na mkeo mfarijiane tu ss wengine hutuelezi chochote kwa magufuli 2020 hakuna uchaguzi nafasi ya rais jipangeni kwenye ubunge na udiwani vita ni vita mulla na kazi ni jeshi hapa kazi tu mkuu we piga domo tu

Nini 2020, Hata angeongeza Muda na Kuwa Rais hadi 2050, Hiyo sio ninayozungumzia, Hata Akiondoa Katiba akajiita Mfalme Magufuli Sio hoja yangu sasa, Ninachosema Ni Nilichokiona Magufuli ni Mnafiki, hayo Mengine Utajua mwenyewe.
 
Pamoja na unafiki jipu la Zanzibar litatumbulia tu angilie asingilea. Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu.
 
Fanya fyoko fyoko uone

Mwai Kibaki alishasemaga hivyo Na yalimtokea Puani, Kuna Msemo wa Wamarekani Usemao, Dont get your your Bulldog mouth Get you Chiwawa (Kijibwa Kidogo) ass in trouble! Maana yake, Usijifanye Kupiga Kelele Kama Una Nguvu sana lakini Ni Mdomo tu! Chonga sana Lakini subiri Kuwe na Tatizo Zaanzibar, Halafu Ukawaulize watu Maarufu, Wenye Mabilioni ya Dollar, Wanaosema Kiingereza cha Kutisha (Hili nimechekea tu) Kama Uhuru Kenyatta Bado wameshitakiwa ICC!
 
Kwani kwa sasa ameponda safari za Kikwete...?!
Kwani hukunsikia pale bungeni aliposema watu wanasafiri sana kwenda ulaya kuliko wanavyokwenda kusalimia mama zao kijijini? Unadhani ulikuwa ulikuwa ujumbe kwa nani?
 
Ni kweli huyu jamaa ni mnafiki na muongo wa waziwazi kabisa...
 
Vipi Kama CCM Ingekuwa Imeshinda halafu Uchaguzi Ukaombwa Urudiwe, CCM Mngesemaje, Najua Jibu hebu sikiliza Mwaka 2000, Tofauti ilidaiwa CCM ndiyo iliyoshinda.



Kwani mwaka 2000 Tume pia ilifuta uchaguzi na kuamua uchaguzi urudiwe na Mkapa akataa usirudiwe?
 
Unafiki wake Mwingine:






SIKU YA WAZEE WA MKOA
WA DAR:
Suala la Zanzibar hatuwezi
kuliingilia kwasababu tume
huru na haiwezi kuingiliwa na
chombo chochote...

Tatizo kashikiwa akili na Jakaya
 
Back
Top Bottom