Magufuli ni mnafiki kama Kikwete

Magufuli ni mnafiki kama Kikwete

Aliye madarakan hawez kukubali kutawaliwa n vyama vya ajabu ajabu!!
Zingatien hili . Na nchi haiwez kuachiwa kwa makaratas mkapa!!

Bungen Nchi ya mapinduz huwez kuachia kwa kupiga kura!!
Hii ndio Ccm
 
Hebu msikilize huyu Thobias Marandu hapa. Kamanda amechanganyikiwa

 
Unafiki wake Mwingine:


SIKU YA KUHUTUBIA BUNGE:
Suala La Zanzibar tutalishughulikia na
tutalimaliza haraka.....


SIKU YA XMAS:
Kama nilivyoahidi bungeni
suala la Zanzibar tutalimaliza
karibuni


SIKU YA WAZEE WA MKOA
WA DAR:
Suala la Zanzibar hatuwezi
kuliingilia kwasababu tume
huru na haiwezi kuingiliwa na
chombo chochote...




Kulimaliza ni pamoja na kurudiwa uchaguz na kuimarisha ulinzi na usalama...
 
Unafiki wake Mwingine:


SIKU YA KUHUTUBIA BUNGE:
Suala La Zanzibar tutalishughulikia na
tutalimaliza haraka.....


SIKU YA XMAS:
Kama nilivyoahidi bungeni
suala la Zanzibar tutalimaliza
karibuni


SIKU YA WAZEE WA MKOA
WA DAR:
Suala la Zanzibar hatuwezi
kuliingilia kwasababu tume
huru na haiwezi kuingiliwa na
chombo chochote...
Hujitambui. Hayo maneno yapo ktk majira tofauti. kwa sasa tume imesha tangaza tarehe ya uchaguzi.
acheni uchochezi
 
Lol!....naona umeuweka unafiki pembeni kabisa na umeamua kumpa za uso wazi wazi na kumwita "MNAFIKI"

Ni kweli ni mnafiki na kila kinachofanyika ni cha kinafiki tu hata tumbua majipu ni unafiki kwa kwenda mbele

Kwa sababu huyu jamaa angekuwa si mnafiki kweli, angeshatumbua jipu kubwa la Tegeta Escrow Account na angeweza kusababisha ktk eneo hilo tu kupata zaidi Tshs bilion mia moja na ushee na wahusika kuanza kunyea madebe Segerea au Ukonga!

Eti kwa unafiki wake, anajivunia kuokoa 7bn kwenye sherehe za uhuru, ukimwi na kuzuia safari. Hivi 320bn (za Escrow scandal) na hii 7bn ni wapi na wapi kama si unafiki tu?
Kama hujui acha kuandika. nani kakwambia ni bil 7 zilizo okolewa kwenye sherehe za uhuru.. ukimwi na safari.
 
Kabla ya Kuzungumza dhumuni Kubwa La Post Hii Napenda Niweke wazi Kuwa, Kwa Miaka Mingi, Kuwashinda hata wengi wa wanaCCM, Nilitambua Uwezo Mkubwa wa Magufuli wa Kufanya Kazi. Nilikuwa na Shukurani Kubwa sana Kwa Magufuli kwa Upendo wake kwa Watanzania na Watanzania. Nilimpenda zaidi Kwa Tabia yake ya Kutokumwogopa yeyote.

Bahaati Mbaya sana Magufuli anatabia Moja mbaya, Ni Mnafiki, sio Mkweli Kama anavyosema "Msemakweli ni Mpenzi wa Mungu" Inapofikia Katika Maswala ya Siasa Magufuli sio mkweli wala mwenye haki, inayofanana na Magufuli wa Ujenzi wa Taifa na Huduma za Jamii.

Unafiki wa wazi ni Pale aliposisitiza Kuwa ati Majaji walimwambia Kuwa Hawana haja ya Kuonekana Live, akiwa anaweka dhana Kuwa Majaji wanamuunga Mkono kwa Kuingilia Utendaji wa Bunge. Swala la Kukatisha matangazo ya TBC ilikuwa ni kwa Lengo la Kuubana Upinzani Bungeni na Kuruhusu Uonevu. Kusema Vinginevyo Ni Unafiki,

Swala Lingine Lilikuwa Ni swala la Zanzibar, Magufuli anajua wazi, Kikwete na Mkapa, walishinikiza Jecha Kufuta matokeo kwa Maslahi ya CCM, Magufuli anajua kuwa NEC, na ZEC sio Tume Huru. Magufuli anajua Uhuni Uliotendeka Zanzibar, Kwa yeye Kujifanya Jecha alifanya maamuzi yake Kikatiba Ni Unafiki.

Watu wanasahau Kuwa Sio Madictator wote Ni wa Aina ya Mobutu, Wengine walikuwa Madictator wa Kuchaguliwa na Watu waoliwaabudu, Madictator hao walikuwa Tayari kutoa damu yao Kuwapa watu wao Wainywe kama wana Kiu. Lakini kwenye Ukubwa wangemtoa yeyote Roho. Mfano halisi alikuwa ni Adolf Hitler. I hope Magufuli Ataacha Unafiki When it comes to Politic.

Mnamjua Mpanju yule Jamaa wa Bunge la Katiba, sasa Hivi kapewa Ukubwa Kwenye Wizara ya Sheria na Katiba.
Mnamkumbuka Makonda na siasa zake za maji taka, Naye Pia alikuwa Kwenye Bunge la Katiba, Magufuli sasa anampa Chapuo
Naaamini hata Bi Asha Bakari asingefariki, angepewa Madaraka Makubwa Kwa Kumtukana Jusa Bungeni! Huyo Ndiye Magufuli Mwanasiasa!

Sikiliza Maneno Yake Katika Sherehe za CCM, Msikilize Mpka Mwisho, Kuna Mahali aliropoka Ukweli, Kuonyesha Zanzibar ilikuwa Ni "Kukataa Kutawaliwa"


Napinga maoni yako ya kichochezi
 
Lol!....naona umeuweka unafiki pembeni kabisa na umeamua kumpa za uso wazi wazi na kumwita "MNAFIKI"

Ni kweli ni mnafiki na kila kinachofanyika ni cha kinafiki tu hata tumbua majipu ni unafiki kwa kwenda mbele

Kwa sababu huyu jamaa angekuwa si mnafiki kweli, angeshatumbua jipu kubwa la Tegeta Escrow Account na angeweza kusababisha ktk eneo hilo tu kupata zaidi Tshs bilion mia moja na ushee na wahusika kuanza kunyea madebe Segerea au Ukonga!

Eti kwa unafiki wake, anajivunia kuokoa 7bn kwenye sherehe za uhuru, ukimwi na kuzuia safari. Hivi 320bn (za Escrow scandal) na hii 7bn ni wapi na wapi kama si unafiki tu?
Escrow muwalaumu waliongia mikataba michafu ya Tanesco kuuziwa umeme na magenerator ya mafisadi wakati Tanesco wanauwezo wakutosha wakununua magenerator yao wenyewe. IPTL wana mkataba wakuwauzia umeme Tanesco Tanesco lazima iwalipe
 
Kitu kizuri ni hakuna aliye mjanja mbele ya muda ,Time will tell
 
Magufuli halisi msikilize alipokuwa waziri alivyosifia safari za nje za Kikwete...
halafu mtazame na sasa
 
Mtazungumza maneno mengi na vijembe vingi lakini ukweli ni kwamba Rais hana mamlaka kisheria kuingilia maamuzi ya tume ya Uchaguzi, iwe NEC au ZEC. Tume hizi zina mamlaka huru yasiyohojiwa na rais yeyote. Iwe zimefanya maamuzi mabovu au zimefanya maamuzi manzuri rais hawezi kuizingilia kisheria.
So tume inaweza kuamua chochote kile na hakuna wa kuwaambia kitu chochote kile na hiyo iko kisheria?

Yaani hata bara kova asingewahi wale vijana wa ukawa pale kino ina maana NEC wangefuta matokeo bara?
 
Kwanza ni ukosefu wa adabu kiongoz wako kimuita mnafiki hata kama kakosea na kifupi hata cjakuelewa unaongelea nn kama ni unafiki huo ulo weka happ ndio inafiki
 
JPM sio mnafiki tu, bali pia sio mpenzi wa Mungu kwa sababu haseme ukweli. Yeye mwenyewe anapenda sana kusisitiza huo msemo "msema kweli ni mpenzi wa Mungu" lakini yeye anajua kuwa hasemi ukweli. Kama ambavyo hatatokea kusema ukweli kwa jinsi gani wateule serikali waligawiana nyumba za umma yeye akiwa ndio msimamizi, ndivyo hivyo hivyo ambavyo hawezi kusema ukweli kuhusu uchaguzi wa ZnZ. Anajua fika kuwa NEC na ZEC sio tume huru, anajua fika kuwa Jecha alishinikizwa na viongozi wa chama chake kufuta matokeo, nk na bado anakuja kutamba mbele ya kadamnasi kuwa ni msema kweli! Huyu jamaa anajitafutia madhambi yasokuwa ya lazima mbele ya huyo Mungu wake anayemtaja kila mara.
 
Hii yote inaonyesha CCM hawataki kutoka kwa njia ya kura, ya Zanzibar yangetokea hata bara kama upinzani rais angeshinda - ni ku wasaliti watanzania
 
Amechukia Maalim kwenda kumshitaki kwa mabalozi kama vile wao ndo wenye maamuzi. Ingebaki kati ya CCM na CUf wangesikilizwa. Maalim anafikiri mabalozi ndo wa kumsaidia.
 
Magufuli ni mnafiki sana cha ajabu anatumia mind game kila wakati analia eti wananchi wamwombee wambee kitu gani yaani watanzania kwake ni madui baada ya TISS kumweka mafarakani hana uhakika eti amejitoa sadaka raisi gani aiyejiaminianayoyatekeleza kama anafuata utawala wa sharia hofu ya nini mpaka sasa yeye mwenyewe hajajitumbua jipu anatumbua ya wenzake tu ni unafiki mkubwa basi angeomba hata msamaha kwa wananchi kwa swala la nyumba anaenda kusimama kwenye kadamnasi anataja mishahaea ya watu kama vile hawakuata sheria kuipata
 
mtoa mada na wachangiaji wote mliokwisha changia mnastahili kujitafakari kam mnastahili kuendelea kutumia akili zenu na fikra zenu vizuri,kila kitu kipo wazi,nimemaliza huo ndo mchango wangu
 
Back
Top Bottom