hatentai
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 705
- 386
Na yeye magufuli mwacheni akauwe wazanzibar haina tatizo hakuanza yeye lakini ukweli upo ni nani alie mkamata makamo mwenyekiti wa tume mbele ya waangalizi wa kimataifa c jeshi ili asiendelee kutangaza matokeo hapo pana tume huru naona kama anajichanganya ngojeeni tu mtajua baadae kama jamaa hafai mlimsifia kikwete Leo mnasema kakuta uoza wabongo mbakua mnasahau kama kuku baadae mtakuja kusema dunia inatucheka tunayaacha ya kwetu yametushinda tunajipeleka ya Burundi kusuluhisha ni aibu na fedheha anajitia kiburi wakati nchi masikini