interegenciadick
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 700
- 1,089
2020 songs
Sisi tunazaidi ya dictator, yaani tuna muuaji, mtekaji na mwizi wa mali ya umma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Alex Fredrick, thanks for this, nikipata muda nitaitafsiri na kuwaambia Watanzania umuhimu wa kura yao ya ndio kwa Magufuli una maana gani kwa bara la Africa na dunia kwa jumla.JPM the towering pillar of African renaissance
That is why October the 28th, is not only an election day for Tanzania, more important, it’s the day to decide the position of Africa in the world and the choice between economic liberation and captivity.
That is why October the 28th, is not only an election day for Tanzania, more important, it’s the day to decide the position of Africa in the world and the choice between economic liberation and captivity.
Tanzanians, in the same way you used to be the reliable rear base for the liberation struggles, you are once again holding the key for African emancipation from economic captivity, vote wisely, vote Magufuli for the bright future of Africa.
Mkuu ostrichegg , sina uhakika, lakini humu jf, sidhani kama kuna member mwingine yoyote aliyeuzungumzia udikiteta kama mimi!.🤣 🤣🤣🤣Kwa hiyo sasa hutaki tena kukumbuka jinsi ulivyokuwa unajitahidi kuupaka rangi UDIKTETA ili sio tu kuupendezesha bali pia kuweka mzingira ya 'kutosahauliwa'?. Kama ni kweli basi ninakutakia heri ingawaje itabidi kukuangalia kidogo kabla sijakuamini.
Leo Machi 17 ambayo ni Magufuli Day, nadurusu baadhi ya mabandiko yangu humu kumhusu JPM huku nikitafakari, if I was right or I was wrong.Wanabodi,
Angalizo. Neno dikiteta sio neno baya kama lengo la matumizi yake ni lengo jema. Tukisema Rais Magufuli ni dikiteta, hatumaanishi ni dikiteta katili kama Hitler, Musolini, au Iddi Amini, no way, Magufuli ni dikiteta mwema au dikiteta mzalendo anayeitwa a Benevolent Dictator!, kama Seretse Khama wa Botswana, Tito wa Yugoslavia, Lee Kuan Yew wa Singapore, Mustafa Kemal wa Uturuki and the like, hawa wote walitawala kwa mkono wa chuma na kuleta mapinduzi makubwa na maendeleo makubwa ya kiuchumi kwa nchi zao, kwa kuzibadili toka kwenye umasikini, hadi kugeuka kuwa ni nchi tajiri, hivyo Tanzania pia sio nchi masikini, tuko kwenye umasikini huu kwa sababu tulikosa mtu imara wa kutuongoza, hivyo hapa tulipofika, ili Tanzania tutoke kwenye umasikini huu, tunamuhitaji mtu kama huyu Magufuli ili mambo yaende!.
Siku zote Watanzania tumekuwa tukilia kuhusu utajiri mkubwa wa rasilimali na maliasili za nchi yetu tulizobarikiwa nazo, lakini nchi yetu kuendelea kuwa ni nchi masikini huku Watanzania tukiishi kwenye lindi la umasikini uliotopea hivyo tukamlilia Mungu atupatie mkombozi wa kutuokoa na kuliokoa taifa letu.
Hatimaye Mungu kasikia kilio chetu akatupatia mkombozi, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, kuja kutukomboa na kulikomboa taifa letu Tanzania, kutoka kwenye lindi hili la umasikini uliotopea na kuligeuza taifa letu kuwa nchi ya neema, Tanzania ya viwanda, Tanzania tajiri, a donor country, nchi ya ahadi, mabomba nchi nzima yatatoa maziwa na asali.
Jumapili Njema.
Paskali
Mimi nilikuwa ni mkosoaji wa constructive criticism, kwenye mazuri napongeza, kwenye mabaya nakosoa na kushauri.Ukisoma huu uzi huu ndio utagunduwa udikteta wa Magufuli, yani mpaka waandishi ilibidi waandike kwa mafumbo kumkosowa dikteta dhalimu.
Mbona unapiga u-turn SasaMimi nilikuwa ni mkosoaji wa constructive criticism, kwenye mazuri napongeza, kwenye mabaya nakosoa na kushauri.
JPM hakuwa dicteta dhalimu, alikuwa ni a benevolent one
Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania ilihitaji Dikiteta, tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!
Wanabodi, Angalizo. Neno dikiteta sio neno baya kama lengo la matumizi yake ni lengo jema. Tukisema Rais Magufuli ni dikiteta, hatumaanishi ni dikiteta katili kama Hitler, Musolini, au Iddi Amini, no way, Magufuli ni dikiteta mwema au dikiteta mzalendo anayeitwa a Benovelent Dictator!, kama...www.jamiiforums.com
P
Umesoma bandiko?.Mbona unapiga u-turn Sasa
Kuna U-turn wapi?.Wanabodi,
Angalizo. Neno dikiteta sio neno baya kama lengo la matumizi yake ni lengo jema. Tukisema Rais Magufuli ni dikiteta, hatumaanishi ni dikiteta katili kama Hitler, Musolini, au Iddi Amini, no way, Magufuli ni dikiteta mwema au dikiteta mzalendo anayeitwa a Benovelent Dictator!, kama Seretse Khama wa Botswana, Tito wa Yugoslavia, Lee Kuan Yew wa Singapore, Mustafa Kemal wa Uturuki and the like, hawa wote walitawala kwa mkono wa chuma na kuleta mapinduzi makubwa na maendeleo makubwa ya kiuchumi kwa nchi zao, kwa kuzibadili toka kwenye umasikini, hadi kugeuka kuwa ni nchi tajiri, hivyo Tanzania pia sio nchi masikini, tuko kwenye umasikini huu kwa sababu tulikosa mtu imara wa kutuongoza, hivyo hapa tulipofika, ili Tanzania tutoke kwenye umasikini huu, tunamuhitaji mtu kama huyu Magufuli ili mambo yaende!.
Paskali
Wanabodi,.
Kwa vile muasisi wa taifa hili, Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, aliwahi kutoa unabii kuhusu udikiteta Tanzania, na inawezekana, ujio wa Magufuli ni kutimia kwa maneno ya unabii huu, lakini kitu ambacho Mwalimu hakikujua wakati akitoa unabii huo ni kuwa hakujua Tanzania tutafikia mahali, tukamuhitaji kiongozi dikiteta!.
Jumapili Njema.
Paskali
JF is very interactive social forum, people always, came and go!, kila siku kuna members wapya, hivyo kwa faida yako, angalia tarehe za hoja hizi ujue kama zilipandishwa akiwa hai au amelala!Kitu pekee Mayalla ulicho nacho , wewe ni storyteller , Na unajua ku flow na upepo. Sitegemei kama ungeweza kutamka kuwa JPM is a dictator wakati wa Uhai wake
Wanabodi,
Angalizo. Magufuli ni dikiteta mwema au dikiteta mzalendo anayeitwa a Benovelent Dictator!, kama Seretse Khama wa Botswana, Tito wa Yugoslavia, Lee Kuan Yew wa Singapore, Mustafa Kemal wa Uturuki and the like, hawa wote walitawala kwa mkono wa chuma na kuleta mapinduzi makubwa na maendeleo makubwa ya kiuchumi kwa nchi zao, kwa kuzibadili toka kwenye umasikini, hadi kugeuka kuwa ni nchi tajiri.
Paskali
Mkuu Nangu Nyau, hiki ndicho nilichokisema kwenye uzi huu.Bwana Pascali, Tanzania inahitaji series of good dictators wenye uzalendo na ndoto yakuiona kesho bora na kuacha heshima nyuma ambao hawatasita kuua na kupoteza wajinga wengie wanaokwamisha kesho ya Tanzania.
Hawa good dictators wenye maono hawaji kupitia mifumo hii ya sheria na katiba bali huzuka kupitia chances zinazojitokeza kwenye mivurugano ya kisiasa.