Magufuli haelewi "collective responsibility". Yeye anachojua ni "serikali ya Magufuli".Haya sio mapya hata awamu ya 4 yalikuwa hivi hivi! Mwingine alisema hakuna haja ya katib mpya, mkuu wa kaya akaja akasema kuna haja ya katiba mpya! Kama rais kwanini usimwite waziri husika ukamwambia akabatilishe kauli yake kuliko kujitokeza kwa wananchi na kumpinga!
Hili swali najiuliza kila siku
waziri anaongea a,b,c
anakuja Rais anasema x,y,z...
jambo ni hilo hilo.....unabaki mdomo wazi
Mkuu Nguruvi3 bora wewe umetusaidia kuorodhesha madudu haya ya Muhongo
ndani ya siku 100 tu
kinachoshangaza ni kuona why Magufuli hamuondoi haraka?
Unajua siku Magufuli atakapo badilisha katiba ajiongeze mda kuna watu
watastuka kama vile hawaoni huu mwanzo...
hao mawaziri kina Makamba wanaomsifia kinafiki now huku
wakimsubiri amalize miaka 10 wagombanie kumrithi watabaki mdomo wazi
wakati hili lipo waazi kabisa ukilitazama
Aigoooo kwani Magu Na serikali yake vupaumbele vyake ni vipi
...Zipo na nimekuwekea uzisome -kwenye maandishi ya blue, bandiko namba 144, ukurasa wa nane wa nyuzi hii- halafu ndio tuendelee kujadiliana. Nikakuuliza kama umezisoma. Nadhani hujazisoma.Kama zipo kwa nini rais anahubiri kulia waziri anatenda yake kushoto. Raisi anapiga ndombolo waziri anacheza ngololo!
...Madhaifu yapi? Pale alimkosoa au alimsifia? Unafahamu vizuri alichoongea, kuhusu Prof. Muhongo?Hii inadhihirisha Raisi ameona madhifu ya waziri na sera zisizokuwa na maslahi kwa taifa zenye kuwakumbatia madalali na wapiga dili, ndio sababu anakuwa na mtizamo tofauti. Ifike mahala tuwe na uzalendo wa kweli kwa nchi yetu!
Haha, kuna watu wanaona haya matamko na maagizo ni mapya ...
TANESCO Leo haina hata chuo cha kuzalisha wataalamu wake......
...Hizo fedha -the current collections- hazitoshi hata kuendesha shughuli za kila siku za Serikali. Achilia mbali kugharamia miradi mikubwa ya uwekezaji.Lakini, zaidi ya hapo, mh. Raisi anahamasishwa na dhamira yake ya dhati mfano kuweza kushurutisha makusanyo ya kodi, tozo na mapato ya serikali kwa ujumla wake, tena ya ndani kwa mamlaka husika na kupata fedha za kugharamia uwekezaji huo mkubwa.
Ninasikitika sana kusoma mambo yaliyopitwa na wakati na kukosa uhalali timilifu kwa wananchi Hii ni kwa sababu yaliandaliwa kukidhi maslahi ya kikundi cha watu wachache wenye nia mbaya na nchi yetu....Zipo na nimekuwekea uzisome -kwenye maandishi ya blue, bandiko namba 144, ukurasa wa nane wa nyuzi hii- halafu ndio tuendelee kujadiliana. Nikakuuliza kama umezisoma. Nadhani hujazisoma.
...Sasa, inabidi uzisome ili ujue kilichopangwa kufanyika na kinachofanyika. Lakini, nikuhabarishe kidogo, hii nchi inaendeshwa kwa uchumi wa soko na shughuli binafsi za uzalishaji huduma na bidhaa. Serikali inasimamia na kujihusisha kidogo na shughuli hizo.
...Madhaifu yapi? Pale alimkosoa au alimsifia? Unafahamu vizuri alichoongea, kuhusu Prof. Muhongo?
...Ukizisoma ndio utajua zina au hazina maslahi kwa Taifa. Nakushauri uzisome. Take some few minutes zisome!
...Uzalendo ni vitendo, si maneno! Wazalendo husoma! Zisome utimize jukumu lako kama mzalendo!
...Ngongo, kwa rhetoric hizi, wawekezaji wata shy away, na hizo fursa nyingi tutaishia kuziongelea kwenye vikao!Pili Tanzania itakuwa na uchumi wa gas soon ambao utatuletea fedha nyingi na kufungua fursa nyingi za kiuchumi nahisi Magufuli atafanya kama alivyofanya Museveni na mafuta ya Uganda.
Ni muhimu kujua umeme unapatikanaje. Vinginevyo, wapiga dili wanaingizwa kwenye uzalishaji na umeme tunauziwa kwa gharama ambayo ni mara tano ya uhalisiaSisi tunahitaji umeme wa uhakika, utapatikana vipi watajua wenyewe.
Hayo mambo ya sera nimeanza kuyasikia tokea mwishoni mwa miaka ya themanini.
Ninasikitika sana kusoma mambo yaliyopitwa na wakati na kukosa uhalali timilifu kwa wananchi Hii ni kwa sababu yaliandaliwa kukidhi maslahi ya kikundi cha watu wachache wenye nia mbaya na nchi yetu.
Kipo postaHaha, kuna watu wanaona haya matamko na maagizo ni mapya ...
TANESCO Leo haina hata chuo cha kuzalisha wataalamu wake......
Maono yakuachia mbolea hovyo hovyoTatizo ni maono
Si kilikuwepo siku za nyuma kikabadilishiwa matumizi? Labda itabidi wajenge kingine.Haha, kuna watu wanaona haya matamko na maagizo ni mapya ...
TANESCO Leo haina hata chuo cha kuzalisha wataalamu wake......
Ni ngumu kumeza!...I get it, hujazisoma. Siku njema ndugu!
Shida ya nchi hii iko hapo
mtu hana team ya wataalam na kama anayo haisikilizi
Sasa Magufuli hotuba tu ya kuandikiwa haisomi
anazungumza yake...jiulize team ya washauri ya uchumi ataisikiliza?
nimewahi toa mfano humu
Makamu wa Rais wa Marekani sio mtendaji..hafanyi maamuzi
lakini still ana washauri wa kila sekta
unakuta Makamu wa Rais ana mshauri wa uchumi...
Rais ana mshauri wa uchumi na kuna mawaziri husika nao wana washauri...
Sisi Rais anaibuka tu na kusema kitu hata washauri hawana taarifa nacho