Hilo si ndio daraja aliloahidi na kupata kura Igunga na ndio ushahidi wa kutolewa kwa Dr Kafumu na Dr Pombe akiwa ndio mharibifu wa kwanza kupelekea kupoteza jimbo?kwa ahadi zake?
Ona tofauti kubwa iliyopo kati ya Afya ya Mpiga tumba wa kukodiwa na Mpiga gitaa... Halafu kuna Mama wa Gamba(Sijui ndo yule aliyefumaniwa na Madelu) anacheka kiudaku Aaaaggggghhh!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.