Yuko Wapi Wilfred Mwango Na Wenzake.

Yuko Wapi Wilfred Mwango Na Wenzake.

Jemat

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2026
Posts
267
Reaction score
560
Wilfred Mwango alikuwa ni msaidizi wa karibu wa Rais aliyependwa na wanyonge Dr. John Pombe Magufuli.
..
Mwango ndio aliyekuwa msaidizi maarufu zaidi wa Rais Magufuli ingawa kulikuwa na wasaidizi wengine.
..
Nimemuona na kukutana nae kama mara tatu.
..
Nilimuona akiwa kwenye msafara wa Samia nchini Urusi.
..
March 17, 2026, nilimuona amehudhuria misa takatifu ya kumbukizi ya miaka mitano tangu kifo cha Jpm iliyofanyika nyumbani kwa hayati huko Chato.
..
If am not mistaken Juni 2026, tulikuwa nae katika viwanja vya Chadulu na Ntyuka tukiangalia mashindano ya soka la mtaani.
..
Hawa wajomba sjui wako wapi kwa sasa.
 

Attachments

  • 1000036564.jpeg
    1000036564.jpeg
    23.2 KB · Views: 4
Back
Top Bottom