Kuhusu rushwa, waziri huyo aliahidi kupanda lori lililozidisha uzito na kutoa rushwa na akasema akikamilisha kazi hiyo watakaohusika watamtambua. Aliwataka watendaji wa mizani kusimamia sheria, kukamata magari na kupiga faini na kuteremsha mizigo bila kujali mmiliki wa gari au mzigo.
Source: Habari leo
Hivi Waziri kupanda gari lililozidisha uzito huku akilijua hilo sio makosa?
Source: Habari leo
Hivi Waziri kupanda gari lililozidisha uzito huku akilijua hilo sio makosa?