Magufuli na CCM yako Must Go

nyie watu mnamshabikia magufuli mna matatizo makubwa sidhani kama huyu angekuwa mwanao ungeweka hizi takataka hapa kwani huyu bint ni chadema naweza kukuita mbwa kabisa wewe natamani siku moja mke ndugu na jamaa yako aumezwe ndo akili itakaa sawa maandamano huwa nanatulizwa na silaha za moto? si walileta magari 700 ya kutuliza ghasia kwanini walitumia za moto
 
Utawala wa JPM ni aibu kwa Afrika Mashariki nzima - Gavana wa nchini Kenya.

Kwa ujumla machache mazuri aliyoyafanya hayana ulinganifu na mengi ya hovyo aliyoyatenda.
 
Nyinyi mnahangaika huo muda wa kuandka hii post ungekagua madaftar ya wanao
Hao watoto wanahitaji siasa safi ili baadaye waishi maisha bora na ya kistaarabu; hawa hawa wapora mabox ya kura ndiyo wanaokwenda kutunga sera ya elimu ya mwanao; fikiri nje ya box chief .
 

Taratibuuuuuu
 
Hivi sasa mahindi ya Tanzania yanauzwa wapi baada ya Kenya kupata mbadala? Na bei kwa gunia moja ni shs ngapi? Pia mwenye mrejesho wa bei ya Mbaazi kwa kg 1 au gunia ni shs ngapi?
 
Watahama wangapi na mtabaki wangapi?
 
Tungekua na Bunge linalojitambua..Huyu angeshapigiwa Kura ya kutokuwa na Imani nae..Tatizo Waliyo Wengi ndani ya Bunge ni CCM ..Serikali ya Hovyo Sana hii..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…