interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,410
Sababu kakutumbua kwa vyeti feki, kakuzibia mianya ya magendo, kakulipisha kodi, kakuzuia usijiunge na ushoga, katengeneza na bado anazidi kutengeneza flyovers zilizowashinda Marais wa awamu zote 5 zilizopita, anatengeneza barabara za kisasa(8 roads), anawajengea reli mpya kwaajili ya treni za kisasa za umeme, anatoa elimu bure, anajenga bwawa jipya la umeme bora litaloweza kutumiwa na Watanzania zaidi ya miaka 60 ijayo(STG), Anatoa mikopo ya vyuo vikuu, yuko smart ukimletea janja janja tu anakufyekelea mbali, anaiwajibisha sheria kwa kumsweka ndani Mkuu wa ufipa wenu Mbowe, anaimarisha sekta ya usafiri wa ndege kwa kununua ndege za kisasa kwa muda mfupi tu, anaimarisha miundombinu katika uboreshaji wa bandari za kisasa kwa kutengeneza vivuko na kununua meli mpya, anawajengea uwanja mkubwa wa mpira kule Dodoma toka wakandarasi wa Tunisia.Magufuli hana mpango wa maendeleo Kwa taifa hili Bali ana mpango wa kusifiwa.
Mengineyo utajazia hapa Mzee wa ufipa _ _ _ _ _ _ _.