Magufuli must go: Salamu za mwaka mpya

Magufuli must go: Salamu za mwaka mpya

Tatizo lipo tena kubwa sana...

Tunavyambiwa tujiajiri, kuna business ideas kibao za young entrepreneurs zinawasilishwa ila either wazi divert kwa waliyonazo tayari au uwekewe vikwazo...

Hizo ndege zinazokuja, tuna engineers kibao wakuzifanyia service ile kupewa hiyo kazi sasa kuna ukiritimba mkubwa sana...

Cc: mahondaw
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kweli Magufuli anaumiza wengi
Adi wapinzan wameona watumie jf kama sehem ya ajenda zao
Nachotaman ni Magu ajiongezee mda maana ata CCM hawaaminiki mbelen, wanaweza fanya kumuingiza mpigaji mwenzao mbelen awe nao 2025
Unaweza shangaa Memb.e anachukua nchi mambo yaleyale ya enz zile ya kuuwa mashirika ya umma yanarudi na mwanga aliouwasha Magu unazima
 
Andiko refu lakini pumba nyingi!

Kama unaona miaka 10 ni mingi kwako unaweza kuhamia katika nchi mojawapo kwenye EAC.

Hujui kama dunia kwa sasa ni kama kijiji? Hamia kijiji kingine.

Rais Magufuli is here to stay and also doing wonders.

And, right now Magufuli is the man.
atakuwa anakupumulia tu kisogoni..!
 
I mean don't get me wrong, I like the guy.
He doesn't mince words, and everything is by the book.
But we are not happy, most of us normal citizens in general aren't happy.
Shouldn't the economy include us as well?
I don't care about the political harshness, all I want is to be happy.
We only live once, why should my 10 years under Magufuli be miserable?
10 years is a pretty long time.
In developed countries, the economy situation is shared with everyone because they know only people can improve or sustain it.
Watu wanasema watanzania ni wavivu lakini sio kweli.
Maeneo ya pwani na sehemu zenye shughuli za uvuvi watu huamka saa 9 mpaka saa 10 asubuhi kwenda kuvua samaki.
Hali kadhalika sehemu za kilimo watu huamka saa 10 asubuhi kwenda vibaruani.
Watu wavivu hawawezi kuamka mapema kiasi hiko.
Kuna tatizo la mfumo ambalo Magufuli hawezi kulitatua.
Kuna shughuli wanafanya watanzania wanalipwa chini ya sh 2000 kwa siku, mfano wasaidizi wa mama ntilie ( lakini waziri mhagama yupo tu wizarani na Magu hasemi kitu ). Hawa wanaolipwa chini ya elfu mbili wanafanya kazi kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa 3 usiku, hili Raisi halisemi na miaka mitatu imepita ( hawezi kulitatua). Haya ni matumizi mabaya ya rasilimali watu.
Lakini pia kuna walioajiriwa sekta rasmi, kuna watu wanalipwa chini ya dollar za kimarekani 200 kwa mwezi ( tena wengi wakiwa ni watumishi wa umma). Huu ni mfumo mbaya wa uajiri na unadumaza uchumi wa watu.
Wenzetu walioendelea, watu wanaolipwa kidogo pia hufanya kazi kwa muda mfupi ili wapate nafasi ya kufanya vibarua vingine. Magufuli na waziri wako Mhagama hamjaliona hili na hamuwezi kulitatua ( walau mngeligusa ndani ya miaka mitatu iliopita ).
Tatizo ni mfumo na watendaji wa serikali, wanachama wote wa CCM ni victims wa mfumo hakuna haja ya kuwachukia. Magufuli huna uwezo wa kiakili kubadilisha mfumo. Watu wanasema hakuna ajira, akili za watu ni kwamba ajira rasmi zipo serikalini tu. Lakini mfumo ungekua mzuri, mashirika makubwa yangeipa changamoto dhana hii kwa kuajiri watu na kuwapa vyote ambavyo
waajiriwa wa serikali wanapata ( bima, mafao, job security n.k) huu nao ni mzigo ambao serikali ingetoa muongozo lakini utashi wa Magufuli sio mkubwa kiasi hiki. Fikiria kahawa inavyonyweka mida ya jioni kwenye vigenge, mtu mmoja anaweza kutengeneza brand yake akatengeza vigenge sehemu tofauti tofauti na kuajiri wasomi katika ofisi wapige hesabu, wagawe mishahara, waitangaze bidhaa nk . Lakini hili ndani ya mfumo huu haliwezekani, serikali inakusanya fedha nyingi na haizirudishi kwenye mzunguko kwa wakati.
Wakati wachina na nchi nyingine zinafanya ujenzi mkubwa ziliwaahidi wafanyakazi kazi wao milo mitatu kwa siku na fedha kidogo. Waliijenga wenyewe bila mtu hata mmoja kutoka nje. Na kipindi hicho ni zaidi ya miaka 60 iliopita ambapo kwao wasomi walikua wachache kuliko wajuvi. Sisi tuna wataalamu wengi wanahitimu masuala ya ujenzi lakini mradi tumewapa watu wa nje kwa kisingizio cha waje kutufundisha namna ya kufanya. Tungeweza kufanya
sisi wenyewe kwa wingi wetu na akili zetu, lakini mfumo tulionao hauamini wananchi wakawaida na Magufuli hawezi kuubadilisha. Jambo la ajabu ni kwamba mpaka barabara za ndani za tunatengenezewa na watu wa nje. Hatuwezi kukuza uchumi kwa mfumo huu, na Magufuli hawezi kuubadilisha. Magufuli, umejitahidi sana kusimamia huu mfumo lakini huu mfumo unatuumiza zaidi ya kutusaidia. Ununuaji wa ndege ungeendana na wananchi kuwa na furaha lakini hatuna furaha. Ndege ni jambo zuri na tulilichelewa. Kwanini tusiwe na furaha sasa? Kwanini tupoteze miaka mingine mitano ambayo ni mingi kwa umri wa binadamu wa sasa bila furaha kwa ajili yako? Tuachie tu nchi tutafute mwingine atakae nunua ndege na kutufanya tufurahi. Hakuna haja ya kulazimisha kufanya unavyojua wewe wakati maamuzi yako yana athiri watu wengi sana. Mfumo ni mbaya, wote sisi ni waathiriwa wa mfumo na Magufuli hana utashi wa kuubadilisha.
Kinachotia hofu ni kwamba, ukigombea tena kama binadamu tutakua tumeishi miaka zaidi ya 7 bila furaha.
Huna uwezo wa kiakili wa kubadili mfumo, tuachie nchi.

Heri ya Mwaka Mpya,
Hofu haijengi amani ya kudumu,
Nina haki ya kuishi kwa furaha,
Citizen Four.
Lazima aende wapi? Chooni au?
 
Mkuu;
Tatizo lako hujui hata mantiki ya ulichokiandika!

Nani alikuambia mpango wa maendeleo niwa Rais au unatolewa na Rais?

Kwa kukusaidia, Mpango wa Maendeleo unatolewa na serikali kwa kusomwa na Waziri wa Fedha na Mipango baada ya kujadiliwa kwenye vikao serikalini.
Acha ujinga. Kama Rais Hana mpango wa maendeleo anagombea Kea nini?

Mpango hata kama hauandikwi na yeye ni lazima ubebe mawazo yake. Hivi unafikiri wanapotoa ahadi kwenye kampeni wanatoa tu bila Mipango kuwa watatelezaje?

Ndiyo maana tuliahidiwa elimu Bure, Million 50 kila kijiji, laptop ect. Unataka kusema aliahidi bila kuwa na mpango.?

Anaposema anaweza kutufanya kuwa kama ulaya, unafikiri Hana mpango?

Rais Ana Mipango yake kwa nchi. Sema tu Kuna watu wanatofautiana naye kimawazo au jinsi ya kuifanikisha.
 
FOR SURE MAGUFULI MUST GO AHEAD - Ili tununue ndege zaidi, tuwajibishe wasiowajibika, tutumie rasilimali za taifa kwa maslahi mapana, tujjenge madaraja na viviko kibao nk
 
I mean don't get me wrong, I like the guy.
He doesn't mince words, and everything is by the book.
But we are not happy, most of us normal citizens in general aren't happy.
Shouldn't the economy include us as well?
I don't care about the political harshness, all I want is to be happy.
We only live once, why should my 10 years under Magufuli be miserable?
10 years is a pretty long time.
In developed countries, the economy situation is shared with everyone because they know only people can improve or sustain it.
Watu wanasema watanzania ni wavivu lakini sio kweli.
Maeneo ya pwani na sehemu zenye shughuli za uvuvi watu huamka saa 9 mpaka saa 10 asubuhi kwenda kuvua samaki.
Hali kadhalika sehemu za kilimo watu huamka saa 10 asubuhi kwenda vibaruani.
Watu wavivu hawawezi kuamka mapema kiasi hiko.
Kuna tatizo la mfumo ambalo Magufuli hawezi kulitatua.
Kuna shughuli wanafanya watanzania wanalipwa chini ya sh 2000 kwa siku, mfano wasaidizi wa mama ntilie ( lakini waziri mhagama yupo tu wizarani na Magu hasemi kitu ). Hawa wanaolipwa chini ya elfu mbili wanafanya kazi kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa 3 usiku, hili Raisi halisemi na miaka mitatu imepita ( hawezi kulitatua). Haya ni matumizi mabaya ya rasilimali watu.
Lakini pia kuna walioajiriwa sekta rasmi, kuna watu wanalipwa chini ya dollar za kimarekani 200 kwa mwezi ( tena wengi wakiwa ni watumishi wa umma). Huu ni mfumo mbaya wa uajiri na unadumaza uchumi wa watu.
Wenzetu walioendelea, watu wanaolipwa kidogo pia hufanya kazi kwa muda mfupi ili wapate nafasi ya kufanya vibarua vingine. Magufuli na waziri wako Mhagama hamjaliona hili na hamuwezi kulitatua ( walau mngeligusa ndani ya miaka mitatu iliopita ).
Tatizo ni mfumo na watendaji wa serikali, wanachama wote wa CCM ni victims wa mfumo hakuna haja ya kuwachukia. Magufuli huna uwezo wa kiakili kubadilisha mfumo. Watu wanasema hakuna ajira, akili za watu ni kwamba ajira rasmi zipo serikalini tu. Lakini mfumo ungekua mzuri, mashirika makubwa yangeipa changamoto dhana hii kwa kuajiri watu na kuwapa vyote ambavyo
waajiriwa wa serikali wanapata ( bima, mafao, job security n.k) huu nao ni mzigo ambao serikali ingetoa muongozo lakini utashi wa Magufuli sio mkubwa kiasi hiki. Fikiria kahawa inavyonyweka mida ya jioni kwenye vigenge, mtu mmoja anaweza kutengeneza brand yake akatengeza vigenge sehemu tofauti tofauti na kuajiri wasomi katika ofisi wapige hesabu, wagawe mishahara, waitangaze bidhaa nk . Lakini hili ndani ya mfumo huu haliwezekani, serikali inakusanya fedha nyingi na haizirudishi kwenye mzunguko kwa wakati.
Wakati wachina na nchi nyingine zinafanya ujenzi mkubwa ziliwaahidi wafanyakazi kazi wao milo mitatu kwa siku na fedha kidogo. Waliijenga wenyewe bila mtu hata mmoja kutoka nje. Na kipindi hicho ni zaidi ya miaka 60 iliopita ambapo kwao wasomi walikua wachache kuliko wajuvi. Sisi tuna wataalamu wengi wanahitimu masuala ya ujenzi lakini mradi tumewapa watu wa nje kwa kisingizio cha waje kutufundisha namna ya kufanya. Tungeweza kufanya
sisi wenyewe kwa wingi wetu na akili zetu, lakini mfumo tulionao hauamini wananchi wakawaida na Magufuli hawezi kuubadilisha. Jambo la ajabu ni kwamba mpaka barabara za ndani za tunatengenezewa na watu wa nje. Hatuwezi kukuza uchumi kwa mfumo huu, na Magufuli hawezi kuubadilisha. Magufuli, umejitahidi sana kusimamia huu mfumo lakini huu mfumo unatuumiza zaidi ya kutusaidia. Ununuaji wa ndege ungeendana na wananchi kuwa na furaha lakini hatuna furaha. Ndege ni jambo zuri na tulilichelewa. Kwanini tusiwe na furaha sasa? Kwanini tupoteze miaka mingine mitano ambayo ni mingi kwa umri wa binadamu wa sasa bila furaha kwa ajili yako? Tuachie tu nchi tutafute mwingine atakae nunua ndege na kutufanya tufurahi. Hakuna haja ya kulazimisha kufanya unavyojua wewe wakati maamuzi yako yana athiri watu wengi sana. Mfumo ni mbaya, wote sisi ni waathiriwa wa mfumo na Magufuli hana utashi wa kuubadilisha.
Kinachotia hofu ni kwamba, ukigombea tena kama binadamu tutakua tumeishi miaka zaidi ya 7 bila furaha.
Huna uwezo wa kiakili wa kubadili mfumo, tuachie nchi.

Heri ya Mwaka Mpya,
Hofu haijengi amani ya kudumu,
Nina haki ya kuishi kwa furaha,
Citizen Four.
Kuna suala la kutengeneza ajira mpya, kuhalalisha malipo yenye Tija ili wafanyakazi watumie pesa yao vizuri umejitahidi Sana kuliongelea.

Wages hapa TZ sijawahi kuona mwanasiasa analiongelea na hata wao wakiongelea stahiki zao huwa kimyakimya ndani ya bunge lao wanaubinafsi Sana yaani wao tu ndio wawe na ma Land cruiser, wanawake Waziri, nyumba nzuri lakini hawafikirii growth ya wananchi wengine
 
Andiko refu lakini pumba nyingi!

Kama unaona miaka 10 ni mingi kwako unaweza kuhamia katika nchi mojawapo kwenye EAC.

Hujui kama dunia kwa sasa ni kama kijiji? Hamia kijiji kingine.

Rais Magufuli is here to stay and also doing wonders.

And, right now Magufuli is the man.
******** hawezi kutuletea maendeleo kwa sababu ya uwezo wake mdogo sana naye anajijua kuwa ana uwezo mdogo ndio maana anlazimisha sifa asizostahili
 
Hama nchi ndgu yangu wewe unaonekana ni mvivu wa kufanya kazi na umezoea vya kuletewa endelea wabunifu na wachapa kazi wanaona kawaida.
Endelea kufikiri hivyo, ila nimepata Maendeleo makubwa Kwa sababu ya kuhoji na kudadisi.
Imbishwa nyimbo na Mapambio ya kusifu lakini ujue waliokosa furaha nchi hii ni wengi na wanaaminishwa kuwa wenye nacho ndio sababu ya wao kukosa.
Ujinga mtupu
 
Mimi nalima napata sitegemei serikali maana akili ni nywele na kila mtu ana zake , labda wewe ndio jinga unayepotosha watu , ni nchi gani inayoshauri wananchi wake wawe wavivu na ikipata maendeleo , yaani wewe ni wa ajabu kabisa.
 
Andiko refu lakini pumba nyingi!

Kama unaona miaka 10 ni mingi kwako unaweza kuhamia katika nchi mojawapo kwenye EAC.

Hujui kama dunia kwa sasa ni kama kijiji? Hamia kijiji kingine.

Rais Magufuli is here to stay and also doing wonders.

And, right now Magufuli is the man.
He must go 2020

SWISSME
 
I mean don't get me wrong, I like the guy.
He doesn't mince words, and everything is by the book.
But we are not happy, most of us normal citizens in general aren't happy.
Shouldn't the economy include us as well?
I don't care about the political harshness, all I want is to be happy.
We only live once, why should my 10 years under Magufuli be miserable?
10 years is a pretty long time.
In developed countries, the economy situation is shared with everyone because they know only people can improve or sustain it.
Watu wanasema watanzania ni wavivu lakini sio kweli.
Maeneo ya pwani na sehemu zenye shughuli za uvuvi watu huamka saa 9 mpaka saa 10 asubuhi kwenda kuvua samaki.
Hali kadhalika sehemu za kilimo watu huamka saa 10 asubuhi kwenda vibaruani.
Watu wavivu hawawezi kuamka mapema kiasi hiko.
Kuna tatizo la mfumo ambalo Magufuli hawezi kulitatua.
Kuna shughuli wanafanya watanzania wanalipwa chini ya sh 2000 kwa siku, mfano wasaidizi wa mama ntilie ( lakini waziri mhagama yupo tu wizarani na Magu hasemi kitu ). Hawa wanaolipwa chini ya elfu mbili wanafanya kazi kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa 3 usiku, hili Raisi halisemi na miaka mitatu imepita ( hawezi kulitatua). Haya ni matumizi mabaya ya rasilimali watu.
Lakini pia kuna walioajiriwa sekta rasmi, kuna watu wanalipwa chini ya dollar za kimarekani 200 kwa mwezi ( tena wengi wakiwa ni watumishi wa umma). Huu ni mfumo mbaya wa uajiri na unadumaza uchumi wa watu.
Wenzetu walioendelea, watu wanaolipwa kidogo pia hufanya kazi kwa muda mfupi ili wapate nafasi ya kufanya vibarua vingine. Magufuli na waziri wako Mhagama hamjaliona hili na hamuwezi kulitatua ( walau mngeligusa ndani ya miaka mitatu iliopita ).
Tatizo ni mfumo na watendaji wa serikali, wanachama wote wa CCM ni victims wa mfumo hakuna haja ya kuwachukia. Magufuli huna uwezo wa kiakili kubadilisha mfumo. Watu wanasema hakuna ajira, akili za watu ni kwamba ajira rasmi zipo serikalini tu. Lakini mfumo ungekua mzuri, mashirika makubwa yangeipa changamoto dhana hii kwa kuajiri watu na kuwapa vyote ambavyo
waajiriwa wa serikali wanapata ( bima, mafao, job security n.k) huu nao ni mzigo ambao serikali ingetoa muongozo lakini utashi wa Magufuli sio mkubwa kiasi hiki. Fikiria kahawa inavyonyweka mida ya jioni kwenye vigenge, mtu mmoja anaweza kutengeneza brand yake akatengeza vigenge sehemu tofauti tofauti na kuajiri wasomi katika ofisi wapige hesabu, wagawe mishahara, waitangaze bidhaa nk . Lakini hili ndani ya mfumo huu haliwezekani, serikali inakusanya fedha nyingi na haizirudishi kwenye mzunguko kwa wakati.
Wakati wachina na nchi nyingine zinafanya ujenzi mkubwa ziliwaahidi wafanyakazi kazi wao milo mitatu kwa siku na fedha kidogo. Waliijenga wenyewe bila mtu hata mmoja kutoka nje. Na kipindi hicho ni zaidi ya miaka 60 iliopita ambapo kwao wasomi walikua wachache kuliko wajuvi. Sisi tuna wataalamu wengi wanahitimu masuala ya ujenzi lakini mradi tumewapa watu wa nje kwa kisingizio cha waje kutufundisha namna ya kufanya. Tungeweza kufanya
sisi wenyewe kwa wingi wetu na akili zetu, lakini mfumo tulionao hauamini wananchi wakawaida na Magufuli hawezi kuubadilisha. Jambo la ajabu ni kwamba mpaka barabara za ndani za tunatengenezewa na watu wa nje. Hatuwezi kukuza uchumi kwa mfumo huu, na Magufuli hawezi kuubadilisha. Magufuli, umejitahidi sana kusimamia huu mfumo lakini huu mfumo unatuumiza zaidi ya kutusaidia. Ununuaji wa ndege ungeendana na wananchi kuwa na furaha lakini hatuna furaha. Ndege ni jambo zuri na tulilichelewa. Kwanini tusiwe na furaha sasa? Kwanini tupoteze miaka mingine mitano ambayo ni mingi kwa umri wa binadamu wa sasa bila furaha kwa ajili yako? Tuachie tu nchi tutafute mwingine atakae nunua ndege na kutufanya tufurahi. Hakuna haja ya kulazimisha kufanya unavyojua wewe wakati maamuzi yako yana athiri watu wengi sana. Mfumo ni mbaya, wote sisi ni waathiriwa wa mfumo na Magufuli hana utashi wa kuubadilisha.
Kinachotia hofu ni kwamba, ukigombea tena kama binadamu tutakua tumeishi miaka zaidi ya 7 bila furaha.
Huna uwezo wa kiakili wa kubadili mfumo, tuachie nchi.

Heri ya Mwaka Mpya,
Hofu haijengi amani ya kudumu,
Nina haki ya kuishi kwa furaha,
Citizen Four.
Continue day dreaming for i believe when you wake up, JPM will still be in power and that is when you will realize that 'You were only dreamin'
 
Andiko refu lakini pumba nyingi!

Kama unaona miaka 10 ni mingi kwako unaweza kuhamia katika nchi mojawapo kwenye EAC.

Hujui kama dunia kwa sasa ni kama kijiji? Hamia kijiji kingine.

Rais Magufuli is here to stay and also doing wonders.

And, right now Magufuli is the man.

Huyo ni bahati mbaya hakuishi, kusoma na kufanya kazi wakati wa Mwl Nyerere!!!ama hangeandika alichokiandika. Kwanza Rais anataka kurudisha vile viwanda vilivyouzwa(vilivyotwaliwa) bure, mashirika ya umma yaliyopewa bure wawekezaji na badala ya kuyaendesha wakayauwa. Mfano Railways ilikuwa na wafanyakazi zaidi ya elfu 20 mwaka 1978, Bandari( maelfu) na mashirika ya mawasiliano (elfu 5) ilikuwa na maelfu lakini now days unakuta ni 1500(elfu moja na mia tano), ni wizi mtupu na matumizi mabaya ya madaraka!! — tatizo hili lilikuwa mbaya zaidi kipindi cha awamu na tatu na nne!!! Pamba ghafi(raw cotton) inauzwa nje kwa sababu viwanda walifanya kuwa maghala! Vivyo hivyo kwa ngozi, kahawa, katani, korosho, mahindi, karanga etc.!!! Enzi hizo ukiwa chuo kikuu kabla ya kumaliza unajua unaenda kufanya kazi wapi! Mwacheni Rais afanye kazi!!!!!
 
Inaelekea huna taarifa rasmi, unachukua maneno mnayodanganyana huko mitandaoni ukidhani ndio uhalisia wa wananchi.. Labda ungesema ni wewe peke yako ndio huna furaha..

Kwa taarifa yako, ukitembea mitaani kwenye mikoa yote ukakutana na wamachinga watakwambia wanafuraha na wamefaidika na Magufuki.. Wapo wanachi waliofaidika na kwa kupatiwa haki za kwenye migogoro ya ardhi (Mh.Lukuvi anajitahidi), kwenye sekta ya afya, hata elimu. Unaongelea furaha ya wananchi kwenye eneo lipi?

Unapoongelea swala la miradi mikubwa kupewa wakandarasi wa nje, we ulitakaje? yupo mkandarasi Tanzania mwenye uzoefu wa kujenga barababra inayopita baharini? au ulitaka tuwape wakandarasi wajifunze kwenye miradi hii mikubwa? ingekua unatoa pesa mfukoni mwako ungefanya maamuzi kama hayo?

Hebu tuambie( kwa akili yako) nini suruhisho ya hizo changamoto ulizo ziainisha hapo kwenye andiko lako.
Propaganda za maji machafu
 
Andiko refu lakini pumba nyingi!

Kama unaona miaka 10 ni mingi kwako unaweza kuhamia katika nchi mojawapo kwenye EAC.

Hujui kama dunia kwa sasa ni kama kijiji? Hamia kijiji kingine.

Rais Magufuli is here to stay and also doing wonders.

And, right now Magufuli is the man.
never said he is a woman, kwanini niondoke nchini kwangu?
 
Inaelekea huna taarifa rasmi, unachukua maneno mnayodanganyana huko mitandaoni ukidhani ndio uhalisia wa wananchi.. Labda ungesema ni wewe peke yako ndio huna furaha..

Kwa taarifa yako, ukitembea mitaani kwenye mikoa yote ukakutana na wamachinga watakwambia wanafuraha na wamefaidika na Magufuki.. Wapo wanachi waliofaidika na kwa kupatiwa haki za kwenye migogoro ya ardhi (Mh.Lukuvi anajitahidi), kwenye sekta ya afya, hata elimu. Unaongelea furaha ya wananchi kwenye eneo lipi?

Unapoongelea swala la miradi mikubwa kupewa wakandarasi wa nje, we ulitakaje? yupo mkandarasi Tanzania mwenye uzoefu wa kujenga barababra inayopita baharini? au ulitaka tuwape wakandarasi wajifunze kwenye miradi hii mikubwa? ingekua unatoa pesa mfukoni mwako ungefanya maamuzi kama hayo?

Hebu tuambie( kwa akili yako) nini suruhisho ya hizo changamoto ulizo ziainisha hapo kwenye andiko lako.
Magufuli must go
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom