Magufuli msikilize huyu Mzungu!

Magufuli msikilize huyu Mzungu!

...huwa najiuliza wabongo walilogwa na nani!1...kwamba hata maua waje wazungu TZ kuzalisha na kuuza kwa dola nje...yani TZ kila kitu ukigusa ni pesa...huko SUA kila kukicha wana graduate watu wa horticulture....sasa sijui huwa wanaishia wapi???...yani arusha na moshi yote ni rutuba tupu ya maua na mboga...hadi mbinga ni hivyo lakini mabonde mengi yameishia kulisha mifugo na misitu isiyozalisha....alafu watu wanalialia wazungu wakija kuchukua madini kwetu!...nchi imejaa ardhi tele yenye rutuba...madini....maji....gesi..samaki...wanyama.....ngo'mbe....kuku...mbuzi...kondoo....nguruwe...n.k n.k..yoote hiyo ni pesa tu...lakini wabongo hawachoki kulialia....kama watu wamelala waacheni wazungu watuvune...maana hii nchi ilishageuzwa shamba la bibi na watawala waliopita...

Wewe hauna akili, kama unafikiri ni rahisi kulima maua na kupata soko Ulaya la kuuza maua ni kazi rahisi basi nenda ukachukuwe hao wahitimu wako wa SUA muende Njombe mkalime maua halafu mpeleke kwenye soko la Maua Amsterdam mkauze, kwani mmekatazwa na nani? Benki za kuwakopesha zipo, ardhi ipo, Viwanja vya ndege vipo nendeni mkalime!
 
Hawa wazungu ndio hatuwataki kabisa, ati anacheleweshwa border? Wezi wakubwa atuwekee hapa amelipa kodi kiasi gani tangu aanze hiyo biashara? Analipa mishahara kiasi gani kwa wafanyakazi wake wote kuanzia management hadi wa kipato cha chini. Je, anafuata sheria zote ''the health and safety'' zinazohusiana na biashara ya maua? Hiyo ni pamoja na vitendea kazi kwa wafayakazi wake wote. Je, anafanya in house training mara ngapi kwa mwaka kwa wafanyakazi wake? Wapya na wazoefu. Je, anawapa wafanyakazi wake ''risk assessment'' ya kufanya kazi kwenye uzalishaji wa maua?

Walizoea kumfuata yule aliyekuwa anafuga majambazi Magogoni.
 
mkuu huwafahamu tu hao wazungu wa maua, wafanyakazi wanafanya kazi katika mazingira hatarishi sana na mshahara ni kidogo mno, usipumbazwe na maneno yao matupu nenda mwenyewe kaone hali ya wafanyakazi wa maua Arusha inatisha mkuu, hao si wa kuwahurumia ni wanyonyaji.

OSHA hawafiki huko! Ni taasisi ya serikali inayosimamia usalama mahala pa kazi ikimhitaji mwajiri kumpatia vitendea kazi vinavyohitajika
 
Wewe hauna akili, kama unafikiri ni rahisi kulima maua na kupata soko Ulaya la kuuza maua ni kazi rahisi basi nenda ukachukuwe hao wahitimu wako wa SUA muende Njombe mkalime maua halafu mpeleke kwenye soko la Maua Amsterdam mkauze, kwani mmekatazwa na nani? Benki za kuwakopesha zipo, ardhi ipo, Viwanja vya ndege vipo nendeni mkalime!
...we kwako kitu rahisi ndicho cha kufanya kwasababu ya ujinga wako...mimi nimekwambia ukweli we akili yako ma.vi tu...we ni mfano wa watanzania wengi....mnafikiri wazungu ndio wenye uwezo wa kuwafanyia kila kitu...maana akili zenu matope..unachoweza kufanya sana ni kulala na wanawake wengi....hizo ndio sifa mnazopeana...mnaishia kufa na ma ukimwi...we mjinga lakini hujui kuwa mjinga...ama nikuite mpumbavu...ndio sababu unatuletea clip wa wazungu humu ukifikiri wao ndio wa kutuonyesha njia...kumbe anachoongea wala si kigumu kufanywa na watanzania....kama ume copy mahali hiyo clip kaa upya ujifunze...inaelekea wala huielewi...idiot...
 
Secta binafsi ya Tanzania hawataki kuripa kodi wanataka kuiba tu,
Wajifunze
 
Ni watu wachache tu kama BARBAROSA wanaofahamu umuhimu wa hili. Wengi, kwa vile ni mzungu, wanaandika upuuzi tu. Hizi fikra chafu za ubaguzi, hasa kwa wazungu, ni mabaki ya Ujamaa- Kibanga ampiga mkoloni type of thinking.
Watu hawajui kama kuna nchi duniani, kama Kazakhstan, watu kama hawa, wawekezaji, wanalipwa hasa na serikali ili waendelee kuwekeza na kutoa ajira! Angalia katika Google Kazakhstan na Tanzania wapi na wapi! Acheni ujinga wa kutosoma anzeni kusoma ulimwengu vilivyo.
Ni viwanda vichache vya umma kama vipo, vinavyoajiri watu 800.

Eti wanalipa kidogo. Mtanzania na uvivu wake ataka afanye kazi kidogo alipwe malaki. Wamezoea kuwaona wanasiasa wao. Leo ni mbunge kesho milionea. Katika dunia ya kweli hizo ni ndoto.

wewe mjinga, mimi ni ccm lakini siwezi tete ujinga kama huu...
 
Hawa watu wa maua wanawalipa wafanyakazi sh laki moja.

Mazingira ya kazi ni sumu tupu.

Kama ni hizi kampuni hapa arusha muulizeni kwa nini maua yanapitia Nairobi kuwekwa label ya kenya?

Kampuni inayomiliki mikahawa ya Mcdonalds ni kampuni kubwa inayoajiri watu wengi sana lakini waajiriwa wanalipwa mishahara midogo ukilingansha na wafanya kazi wengine lakini kampuni hiyo inatoa huduma zake kama sikosei duniani kote,juu ya kuwa unawalipa wafanya kazi wake mishahara midogo lakini bado serikali za nchi nchi inakaribisha mcdonalds kufungua mikahawa yake ,,

Issue hapa sio mishahara ishu ni kuwapatia watanzania kazi,watanzania wengi wanaishi chini ya kiwango cha umasikini yaani wanaishi kuliko maskini wa kawaida,watanzania ni mafukara,,,

Kama inatokea kampuni inawalipa watanzania mishahara ya kulisha familia zao,zisikilizwe zibadilishane mawazo na serikali kwa manufaa ya watanzania....
 
Naona wanakimbilia kilimo cha maua, wakati kuna vilimo vingi ambavyo vinalisha Nchi na kukimu wakulima wetu... Watu wanataka Mzungu asikilizwe! Tena anayeua watu kwa sumu na kukausha maji ya bonde la mto...

Maua ni pesa,siku hizi bangi imekuwa kilimo kikubwa majimbo 24 ya nchi ya marekani imehalalisha bangi kama kilimo cha kawaida,watanzania lazima tubadilisha vipi tunaiona dunia,bado tuko nyuma sana kimawazo.tunashindwa hata na jirani zetu kama nchi ya Kenya.

Kenya wanafanya biashara kubwa sana ya mirungi wakati watanzania mirungi inaitwa dawa ya kulevya,watanzania wengi wanakwennda jela kwa kukamatwa na mirungi,Mkuu tujaribu tusiwe tafauti na watu wengine kama tutajitafautisha na na mawazo ya watu wengine na mawazo ya nchi nyengine tukajiona sisi ni tafauti basi tutakuwa nyuma kimaendeleo,tutakuwa mkiani mwa dunia...
 
Hawa watu wa maua wanawalipa wafanyakazi sh laki moja.

Mazingira ya kazi ni sumu tupu.

Kama ni hizi kampuni hapa arusha muulizeni kwa nini maua yanapitia Nairobi kuwekwa label ya kenya?

mkuu huwafahamu tu hao wazungu wa maua, wafanyakazi wanafanya kazi katika mazingira hatarishi sana na mshahara ni kidogo mno, usipumbazwe na maneno yao matupu nenda mwenyewe kaone hali ya wafanyakazi wa maua Arusha inatisha mkuu, hao si wa kuwahurumia ni wanyonyaji.

Ningemshauri Raisi Magufuli kwa kuwa ameonyesha nia ya dhati ya kuinua Uchumi wetu kwa kuongeza uzalishaji amsikilize huyu Mzungu kwenye hiyo video ..........................deleted............................
Kwani kulingana na maelezo yake kama vikwazo vikiondolewa au kupunguza ana uwezo wa kuzalisha zaidi na kuajiri Watu wetu wengi zaidi na hiyo ni win win situation kwani itaongeza mapato serikali kwa kuuza kuingiza fedha za kigeni kutokana na export!

Barbarosa, Naweka sehemu ya maelezo yako pamoja na wale wanaojua hali halis ya wamiliki wa mashamba ya maua ili ujue kwamba huyo Mzungu na wenzake hawafai. Hali iliyopo hapo ni mbaya na Baadhi ya watumishi wao wanakufa bila tiba baada ya kubugia madawa ya wadudu wyanayotumika ktk mashamba hayo.

Ni vizuri kuondoa vikwazo ktk biashara, lakini nadhani huyu ameona sasa aliyeko juu kuna siku atawaibukia tu. Mahesabu uliyopiga ya idadi ya wategemezi ni kama haipo maana kuajiliwa ktk mashamba ni kama nyoka wa kule kwenye Tanzanite. Maisha yako unayalaani tu!
 
Ajaira ya Mshahra 100,000/= kwa mwezi huku watuw etu wakifa kwa sumu?

Jamaa nazungumzia Foreign Currency, sijuhi ni mimi au ndivyo ulivyo, mfano huyu ni muolanzi maua anauzia uholanzi huku ataleta rwa material na hela chacche za kuendesha shamba, faida yote itaishia hukohuko, hakuna dola inayokuja huku tusiongopeane.

Watu tumieni akili jamaa amezungumza jambo la maana,hundred thousand kwako sio kubwa kwa wengine wana miaka hajawai kuishika...
 
Barbarosa, Naweka sehemu ya maelezo yako pamoja na wale wanaojua hali halis ya wamiliki wa mashamba ya maua ili ujue kwamba huyo Mzungu na wenzake hawafai. Hali iliyopo hapo ni mbaya na Baadhi ya watumishi wao wanakufa bila tiba baada ya kubugia madawa ya wadudu wyanayotumika ktk mashamba hayo.

Ni vizuri kuondoa vikwazo ktk biashara, lakini nadhani huyu ameona sasa aliyeko juu kuna siku atawaibukia tu. Mahesabu uliyopiga ya idadi ya wategemezi ni kama haipo maana kuajiliwa ktk mashamba ni kama nyoka wa kule kwenye Tanzanite. Maisha yako unayalaani tu!

Usiongee usichokifahamu, ni dhambi kubwa kuhukumu usilolijua!

[video=vimeo;40504176]https://vimeo.com/40504176[/video]

Yaani, kwa vile ni Mzungu ndio lazima akutane na Rais; haya mambo yanahusiana na Wizara ya Kilimo au chombo cha kulobby kuhusu masuala ya kilimo ndio kiwakilishe. Kama kila mtu mwenye matatizo na mawazo akitaka kwenda Ikulu kukutana na RAis ili matatizo yake yatatuliwe tutaanza kurudi kule kule kwa kwenda kupokea baskeli Ikulu!

JK aliishushia hadhi sana ikulu na kwa kipindi cha miaka kumi aliwafanya watu waichukulie Ikulu kama nyumba ya mtu binafsi, wengine hata wanakwenda pale bila appointment kuonana na ndugu zao wanaofanya kazi pale. Hii isiendekezwe. True kama anavyosema MWanakijiji huyu mzungu ni mwajiri ambaye nchi yetu inawahitaji lakini wa kuongea naye ni waziri labda au hata kabla ya hapo kuna vyombo vya serikali ambavyo vina mamlaka ya kuwasikiliza na kuwasaidia wakulima wa aina yake.
 
Usiongee usichokifahamu, ni dhambi kubwa kuhukumu usilolijua!

Hopeless creature!
Kumbe wewe ulileta thrd hapa ili tuunge mkono hiyo hotuba ya mzungu! Hii ni JF na usihodhi ufahamu. Hayo mashamba tunayafahamu na tumeyafanyia utafiti. Ulileta hoja ya kuajiliwa kwenye mashamba wakati huna mfano wowote wa mtu aliye na maisha ya mfano baada ya kuajiliwa kwenye mashamba.

Watembelee TPRI uliza matokeo ya utafiti juu ya afya chafu za watumishi ktk mashamba ya maua.
 
Maua ni pesa,siku hizi bangi imekuwa kilimo kikubwa majimbo 24 ya nchi ya marekani imehalalisha bangi kama kilimo cha kawaida,watanzania lazima tubadilisha vipi tunaiona dunia,bado tuko nyuma sana kimawazo.tunashindwa hata na jirani zetu kama nchi ya Kenya.

Kenya wanafanya biashara kubwa sana ya mirungi wakati watanzania mirungi inaitwa dawa ya kulevya,watanzania wengi wanakwennda jela kwa kukamatwa na mirungi,Mkuu tujaribu tusiwe tafauti na watu wengine kama tutajitafautisha na na mawazo ya watu wengine na mawazo ya nchi nyengine tukajiona sisi ni tafauti basi tutakuwa nyuma kimaendeleo,tutakuwa mkiani mwa dunia...

#Vipaumbele
 
Back
Top Bottom